Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.

Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.

Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".

Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.

My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
 
Nilianza kuamini kuwa kuna mgogoro kati ya miamba hawa wawili baada ya habari hiyo kuandikwa na gazeti la Raia Mwema ambalo kwa sasa inasemekana linamilikiwa na Said Kubenea badala ya Jenerali Ulimwengu. Habari hii ingeandikwa na gazeti jingine wala isingekuwa na uzito.

Busara zitumike kumaliza mgogoro huu bila wahusika Kuchachawangwiana wala Kukolimbana. Watanzania bado wanawahitaji!
View attachment 2504002

msikilize Lisu hukuuu
 
Mgogoro hauwezi fichika mbona wa Ruto na Kenyatta ulikua wazi? JK na Lowassa ulikua wazi? Wa Maalim na Lipumba ulikua wazi why Huu wa Mbowe ni JF tu huko ground sijaona vurugu yoyote?
2015 Dr Slaa akiwa ameshaachana na chadema, ni mbowe aliyetudanganya kuwa Slaa kapewa likizo.

Pengine Slaa asingeshituka na kuomba ulinzi wa vyombo vya taifa, mida hii tungeshamsahau kama Wangwe.
 
Fake news.... Hakuna mgogoro wowote mna force mambo tu. Kama Mbowe angekua unsecured angekubali Lissu agombee Urais 2020 ilihali Mbowe pia alichukua fomu?

Mbowe anajua Lissu ana ushawishi mkubwa na maadam atasaidia kujenga base ya kisiasa kwanini aweke naye mgogoro?

Mgogoro hauwezi fichika mbona wa Ruto na Kenyatta ulikua wazi? JK na Lowassa ulikua wazi? Wa Maalim na Lipumba ulikua wazi why Huu wa Mbowe ni JF tu huko ground sijaona vurugu yoyote?
Ni bladifaken mmoja analeta upuuzi
 
Mbowe amekua mlevi sana.
Mara nyingi pombe ndizo zinauowafanya Wanasiasa kuwaza madili na Swali tu.

Kileo hakiwafai Wafalme.

Wengi wanakunywa lakini Kwa kiasi.

Mbowe asigeuze chama kuwa Mali yake Binafsi

Mtei hakuwa Mjinga kumwachia Bob Makani Chama. Mtei Alijenga Imani na kuaminiana?
Amelewa na Mama yako bladifaken
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi ...
Duh!

Umejiunga uanachama JF, kwa kazi hii maalum uliyopewa jana tu?

wa hiyo, wewe unawafahamu vyema sana viongozi wa CHADEMA na mambo yao, au siyo?

Hii shule ulisomea wapi mkuu 'Despropera'?

Hawa wengine wooote waliokutangulia hapa JF, kufanya kazi ya aina hii, lakini hawakufua dafu, wewe unadhani utakuja na jipya kuwazidi wao?
 
2015 Dr Slaa akiwa ameshaachana na chadema, ni mbowe aliyetudanganya kuwa Slaa kapewa likizo.

Pengine Slaa asingeshituka na kuomba ulinzi wa vyombo vya taifa, mida hii tungeshamsahau kama Wangwe.
Huwa nakuona makini sijui Leo kwanini umetumia speculations? Kama Mbowe ni mkatili Mdee ange survive? Hao waliomtukana bungeni kina Lijualikali na Silinde wange survive?

Mnyika alimgomea Mbowe kuhusu Lowassa na mashinji vp amekufa? Mbona ndio kwanza kapewa ukatibu Mkuu!!!

Acheni speculation za ajabu, kama hauna Dola trust me ukiua utadakwa asubuhi tu.
 
Alishindwa jiwe .kuisambaratish chadema mtaweza nyie chawa wakijani? Chadema inazidi kupaa na hakuna mgogoro napia tunamsubiri lema
Kama kufukuta basi pangewaka enzi ya jiwe tu.
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.

Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.

Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".

Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.

My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.

Kwa hiyp sentensi kuwa eti yasijeyakamtokea ya Wangwe, thread nzima inathibitika ni upuuzi mtupu.

The whole thread is crap from a low brain.
 
Nilianza kuamini kuwa kuna mgogoro kati ya miamba hawa wawili baada ya habari hiyo kuandikwa na gazeti la Raia Mwema ambalo kwa sasa inasemekana....
Ni kwamba tukisema ukweli mnatukana chadema ni chama cha wachaga na lissu ndo kajipendekeza na kuleta shobo.

Hawezi kuwa na mamlaka juu ya Mbowe ,jamaa anataka kuachia uenyekiti ila huko kwako washampa onyo labda mpokeze mchaga mwenzie la sivyo hawatokubali wachaga ng'o.
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na Mbowe arudi nyumbani.
Kundi lingine linalodaiwa kuongozwa na Halima Mdee aliyefukuzwa uanachama na wenzake 18 bado wanaomuona Mbowe kama nguzo ya Chadema. Aidha, taarifa kutoka ndani ya makundi hayo kupitia group la WhatsApp la kundi la kwanza likijiita "Mageuzi 2025" wanamshutumu Mbowe kukiuka Katiba ya chama na kuifanya chama hicho kuwa mali yake na familia.

Hata hivyo imeelezwa kwamba baada ya Mbowe kunusa taarifa hizo baada ya kuletewa screenshot za mawasiliano ya kundi linalompinga na kudai amelamba asali bila kuwaonjesha wenzie kina Msigwa, amemshitutisha Lissu kukanusha kuwa hana mpango wala hajawahi kuoa kuwa hata Makamu M/Kiti lakini aliombwa na chama. Kauli hii imemuudhi mno Mbowe na kuona kwamba kumbe aliombwa pia kuwa Mwenyekiti wa chama hicho basi Mbowe hana chake.

Taarifa kutoka kwenye familia ya Mbowe zimedai kwamba baada ya Mbowe kuomba ushauri wa kimkakati muasisi wa chama hicho ambaye pia ni babamkwe wake Edwin Mtei, Mzee huyo alimjibu mkwewe kifupi na kumwambia "call him here". Tayari Lissu ameitwa na Mtei na logistic itakayotumika ni "kwenda kumpa pole Mtei Kwa kufiwa na mkewe Mbowe akiwa jela".

Hata hivyo familia ya Lissu wakiongozaa na kaka yake Aluta wamemtahadharisha Lissu kuwa makini na Mbowe huku wakimkumbusha ya Chacha Wangwe. Inaelezwa kuwa aliyebaki bila upande ni John Mnyika na haijulikani ni kwa nini.

My take: Chadema nyumba mnayoijenga ni moja ya nini kugombania fito kiasi Cha kutoaminiana maana mwisho mtauana. Nawasilisha.
@Moderator kuacha uchafu kama huu jukwaani ni sawa na kutaka kuharibu amani ya nchi
 
Back
Top Bottom