Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

 


msikilize Lisu hukuuu
 
Mgogoro hauwezi fichika mbona wa Ruto na Kenyatta ulikua wazi? JK na Lowassa ulikua wazi? Wa Maalim na Lipumba ulikua wazi why Huu wa Mbowe ni JF tu huko ground sijaona vurugu yoyote?
2015 Dr Slaa akiwa ameshaachana na chadema, ni mbowe aliyetudanganya kuwa Slaa kapewa likizo.

Pengine Slaa asingeshituka na kuomba ulinzi wa vyombo vya taifa, mida hii tungeshamsahau kama Wangwe.
 
Ni bladifaken mmoja analeta upuuzi
 
Amelewa na Mama yako bladifaken
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi ...
Duh!

Umejiunga uanachama JF, kwa kazi hii maalum uliyopewa jana tu?

wa hiyo, wewe unawafahamu vyema sana viongozi wa CHADEMA na mambo yao, au siyo?

Hii shule ulisomea wapi mkuu 'Despropera'?

Hawa wengine wooote waliokutangulia hapa JF, kufanya kazi ya aina hii, lakini hawakufua dafu, wewe unadhani utakuja na jipya kuwazidi wao?
 
2015 Dr Slaa akiwa ameshaachana na chadema, ni mbowe aliyetudanganya kuwa Slaa kapewa likizo.

Pengine Slaa asingeshituka na kuomba ulinzi wa vyombo vya taifa, mida hii tungeshamsahau kama Wangwe.
Huwa nakuona makini sijui Leo kwanini umetumia speculations? Kama Mbowe ni mkatili Mdee ange survive? Hao waliomtukana bungeni kina Lijualikali na Silinde wange survive?

Mnyika alimgomea Mbowe kuhusu Lowassa na mashinji vp amekufa? Mbona ndio kwanza kapewa ukatibu Mkuu!!!

Acheni speculation za ajabu, kama hauna Dola trust me ukiua utadakwa asubuhi tu.
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi...
Kwanza Mnyika Kwa Sasa amekonda na huenda akawa anawazia kwenda ccm
 
Alishindwa jiwe .kuisambaratish chadema mtaweza nyie chawa wakijani? Chadema inazidi kupaa na hakuna mgogoro napia tunamsubiri lema
Kama kufukuta basi pangewaka enzi ya jiwe tu.
 

Kwa hiyp sentensi kuwa eti yasijeyakamtokea ya Wangwe, thread nzima inathibitika ni upuuzi mtupu.

The whole thread is crap from a low brain.
 
Nilianza kuamini kuwa kuna mgogoro kati ya miamba hawa wawili baada ya habari hiyo kuandikwa na gazeti la Raia Mwema ambalo kwa sasa inasemekana....
Ni kwamba tukisema ukweli mnatukana chadema ni chama cha wachaga na lissu ndo kajipendekeza na kuleta shobo.

Hawezi kuwa na mamlaka juu ya Mbowe ,jamaa anataka kuachia uenyekiti ila huko kwako washampa onyo labda mpokeze mchaga mwenzie la sivyo hawatokubali wachaga ng'o.
 
@Moderator kuacha uchafu kama huu jukwaani ni sawa na kutaka kuharibu amani ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…