Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

Huwa nakuona makini sijui Leo kwanini umetumia speculations? Kama Mbowe ni mkatili Mdee ange survive? Hao waliomtukana bungeni kina Lijualikali na Silinde wange survive?
Wewe unajiita zitto junior, Zitto original amewahi kuandika humuhumu JF akiwa naibu katibu mkuu wa chadema, kuwa hao wahuni wakithubutu kumfanyia kama walivyomfanyia Wangwe, hata mende kwenye vyoo vyao hawatasalimika. Was he stupid?

Labda naye bila ule mkwara tungeshamsahau.
 
Mleta mada tafuta mtu akuoe upate muda wa kuwa bize.

Wewe ni taga pure mambo ya CHADEMA ya kazi gani?

Wakigombana si ndio vizuri kwenu?
 
Uongo wa kiwango cha SGR.Hivi Halima Mdee mwana CCM na adui mkubwa wa Chadema anawezaje kupata uungwaji mkono ndani ya Chadema?

Mtazusha mengi sana mwaka huu. Sukuma Gang hii staili mnayotumia kupandikiza mgogoro Chadema haitafanya kazi. Msoga Gang imewazidi kete hasira zenu mnamalizia Chadema.
 
Umeandika Kweli kuhusu Mnyika kutokuwa na upande au kutabirika na hujui sababu!!!

Anyway mengine ni SIRI za CDM,

Nawashauri CHADEMA wafanye pia propaganda japo Kwa uchache, maana Lumumba wamewekeza sana huko.
Uzuri ni kuwa hizo propaganda zinawafurahisha wenyewe sawa na mtu anayepiga punyeto akijua kuwa anajiongopea mwenyewe kuwa anakula mzigo.
 
Mbowe Hana urobo wa madaraka Hana kabisa,unamlisha maneno tu paka shume wewe.Mbowe amewapisha wangapi wakagombea urais?
 
CCM OYEEEEH!!!!!

MAKAMANDA PEOPLEEEEEEEEEES!!!!!

Mgogoro wa kimchongo Huu!!!

Kuna lengo la kugawa Chama Ili tupate VYAMA viwili vikubwa vya upinzani je ni ACT!?NCCR!?

Ngoja tuone!!
 
Hata kuwaza tu huwa siwazi kuwa kuna siku Lissu, atamkosea adabu Mbowe, hasa ,hasa alivyookoa maisha yake! Sidhani kama Lissu, na sisi tunaompenda, tunaweza kuonyedha ukosefu wa shukraan kwa Mbowe!
Pia, huwa nawaza, hivi, kwa mfano, Mh Lissu angefariki muda mfupi tu baada ya kufikishwa Kenya, bila shaka huyu aliyeleta uzi huu, na MATAGA wengine, wangekomaa sana na Mbowe kuwa ndiye aliyemuua, na kudai angepelekwa Muhimbili walikotaka kumpeleka kukataliwa na Mbowe, angepona!
Mwenye Enzi Mungu azidi kumpa maisha marefu Freeman!!!!
 
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada...
Yaani watu wengine bure kweli. Huyu mzee mgojwa na amesahau kila kitu kwa ugojwa wake leo hii ataweza vipi kuongea mambo ya siasa wakati nasikia hata jina lake hakumbukišŸ¤”! Tuache kuzusha vitu ambavyo havipo
 
 
propaganda za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…