Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

CHADEMA kuweni macho na LISSU. Nimeshawatahadharisha mara nyingi sana, msiponisikiliza mtakiingiza chama kwenye mgogoro mkubwa sana.

Ninachokiona mimi kama LISSU atafumbiwa macho si tu kugawanyika kwa chama bali kundi moja kuhama chama na kuanzisha chama kingine. Asilimia 50 ya wanachama wa CHADEMA watagawanyika na kuhamia chama kipya.
 
Habari nchini ni hii haya mengine mnataka kupoza joto tu.
 
Unamwamini Zitto , Mpinzani Pekee aliyebaki bungeni kusikiliza Magufuli akizindua bunge ?
 
Ni upuuzi wa hali ya juu, watu kutumia akili ndogo ya kiwango cha kusoda, wakiamini kuna wajinga wanaoweza kuamini tungo za kijinga kutoka kwa watu wajinga wa kiwango cha huyu mleta mada.

Hata uhangaike vipi, wachukue na ukoo wako wote mkashughulike kumgombanisha Lisu na Mbowe, hamtafanikiwa kamwe. Hawa ni watu wwnye principles. Jiwe alihangaika kweli amhadae Mbowe na Lisu kwa cheo na pesa, vyote alishindwa. Akawatesa kupindukia, akashindwa. Baadaye akaamua amwue kabisa Lisu, nalo akashindwa. Sembuse ninyi msio na mbele wala nyuma, mnaamini mnaweza kuwagombanisha? Mtagombana na kukorofishana ninyi ukoo wenu wote, mshindwe hata kusalimiana, lakini Mbowe na Lisu hawatagombana, maana kila mmoja anaujua upendo na uaminifu wa kiwango cha juu wa mwenzake.
 
Kwamba Zitto amtishe Mbowe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ acheni utani. Mbowe kma angekua mafia Zitto angeshamalizwa kitambo. In fact hata gari ya kampeni alitumia ya Mbowe so angeweza hata kuitegea bomu ikammalize mbele kwa mbele.
 
Haikusaidii lolote, Hilo limefeli tafuta lingine. Bladifaken bastard haikusaidii
Ndio ukweli sio kwamba aisaidii lolote uwongozi sio lele mama uwongozi nikipawa uwongozi ni mikakati uwongozi ni uvumilivu ukileta tamaa kwenye uwongozi unakwenda kuangamiza haki na ndoto zawaTanzania walio wengi

Ukweli Chadema wamekoswa msimamo sio leo hapana bali toka kuundwa chama hiki ndani ya mfumo wa vyama vingi iki chama akijawahi kuwa chama chenye mikakati dhidi ya maisha ya watanzania ukijaribu kukifatilia kwakina Chadema imekuwa km taasisi inayo elekeza na kufundisha upuuzi wenye kubomoa ndoto zaviongozi wengi wenye malengo na mipango mizuri dhidi ya Taifa hili
 
Haya niliyasema ila wabishi wanashupaza shingo kama kawaida.

Kwanza kupotea kwa baadhi ya wanachama wao huwa wanatupia lawama ccm kama camouflage ila wenyewe wanajuana.

Acha panyeshe tujue panapo vuja. Mama ameupiga mwingi๐Ÿคญ๐Ÿคฃ wanachapana viboko wenyewe.

Kulia kupokezana, chama kilishakufa wanangโ€™angโ€™ania tu saizi nani azikwe wapi๐Ÿคฃ
 
Nyie ni maskini wa propaganda!.
 
DUA za Lumumba hizo toka kitengo cha Propaganda. Unajitahidi.
 
Kusubiri mgogoro CHADEMA ni sawa na kupanda Mahindi kwenye tiles.
 
kuwa chama chenye mikakati dhidi ya maisha ya watanzania
Ni chama gani basi kimtimiza hayo?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ CCM? Chawa mnahangaika san; mnalo mwaka 2024 &2025! Sidhani kama propaganda zitasaidia maana Chadema kimesajiliwa kwenye mioyo ya watanzania na si kwenye makaratasi au propaganda kama zenu! Poleni sana! Magufuli alisema atahakikiha anaiua chadema, limekufa limeiacha inashamiri kenye mioyo ya wapenda haki! bawe utakufa utaiacha kama magufuli
 
Blah blah bila ushahidi wa hizo screen shot za kwenye group, ni maneno matupu hayo, weka ushahidi watu waamini siyo hizi siasa maji ya tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ