Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

Pumbavuuu!!
 
Miafrika inajua madaraka ni kuiibia nchi badala ya kuijenga

Wote wanaotamani madaraka ya juu sio kuwa wana nia njema na masikini bali wana nia njema na matajiri tu
Na huo ndio ukweli mchungu !!
 
Siku si nyingi chadema mtakuja hapa jukwaani kumuomba msamaha mwendazake baada ya kujua aliyetaka kumuua lissu ni nani.
 
Magufuli alisema atahakikiha anaiua chadema, limekufa limeiacha inashamiri kenye mioyo ya wapenda haki! bawe utakufa utaiacha kama magufuli
Kauli ya kipumbavu sana hii. Wewe utakufa pia, utaondoka na chadema?
Jinga sana.
 
Magufuli alikuacha ukiwa na mimba ya miezi mingapi?
 
Yaani kusubiria ugomvi utokee ndani ya chadema ni sawa na kusubiria TREN ndani ya airport..

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Uzushi mpya baada ya ule wa CHADEMA imekufa kufeli badala yake MUUAJI wa CHADEMA akafa yeye chawa wa mama kazi hamzijui mnakula posho za bwelele .
 
Hizi drama za kujaribu kupandikiza mgogoro Chadema ni kazi ya Sukuma Gang kujaribu kupoza makali ya sakata la kashfa ya plea bargain ambayo imemvua nguo mungu wao na wapambe wake. Huyu dhalim aliwaaminisha wajinga kuwa alikuwa mtetezi wa wanyonge kumbe lilikuwa jizi lililokubuhu. Aliyeibua uozo huu ni Rais Samia sasa kwa vile Sukuma Gang hawawezi kumvaa mama direct ndiyo wameamua kuhamishia ugomvi wao Chadema. Mh. Rais kanyagia hapo hapo lazima kila ubaya ulipwe hapa hapa duniani. Poleni sana Sukuma Gang legacy ndiyo hiyoooo inayoyoma. Wezi na wauaji wakubwa nyie
 

Attachments

  • JamiiForums1190257988.jpeg
    69.9 KB · Views: 1
  • IMG-20230201-WA0000.jpg
    20.5 KB · Views: 1
Hatuhitaji ushauri toka kwa shetani . Kama wewe ni mshauri mzuri basi washauri Sukuma Gang na Msoga Gang wawe kitu kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…