Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Weka picha ya machozi
 
si mshaambiwa muda wa kampeni ruksa kuanza, kwan kuna mtu amewasumbua? tatizo lenu bangi nyingi icho chama, kule hai ndo kabisa mbowe kanusurika kupigwa mawe, uku dodoma ndo yaani usipime! muache bangi sasa mda umeisha
Bangi unavuta wewe ambaye hata hujui unachangia nini,aliyekuambia kampeni zimeanza ni Nani? Kasome ratiba iliyotokewa na NEC ndiyo uje ulete huu utaahira wako tena hapa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuchukua form hajaongea na wananchi ?
 
Kama ni hivyo ndio vinakufanya uwe muoga na mnafiki, ungekuwa Afrika kusini mpaka leo ungekuwa chini ya makaburu.
Pamoja na maendeleo aliyoyaleta,Kaburu afrika kusini haikua nchi yake, ndo maana wazawa walikua na sababu ya msingi ya kupigania uhuru wa kujitawala na kupinga ubaguzi wa rangi. Sasa unataka hapa Tanzania Mimi nipinge nini labda? Tunajitawala wenyewe na maendeleo yanafanywa nasisi wenyewe.
 
Pigo la nini, au yeye ndio huwa anaviagiza hivyo vyombo kutumia nguvu? Na lile kundi la watu wasiojulikana nalo kalipeleka likizo?
Yeye ameongea kama mkuu wa nchi. Hayo mengine unayosema wewe ni siasa za kawaida sana.
 
Unataka kurushwa bure? Media Sio charity organization!! Watu wanalipia leseni na TRA wewe unataka free ride?
Vipi Tume kutokufanya kazi Nanenane? Ulikomaa utadhani unakunya mawe kwa kukakamaa, unatia aibu jinsi unavyo komalia uongo na roho yako mbaya.

Huwezi kuaminika tena MTU mzandiki wa kiasi hicho
 
Kabla ya ku comment huu upuuzi wako hapa labda nikuulize uliisoma vizuri na kuielewa comment yangu??? Au umekurupuka tu kuja kujibu baada ya kupewa hela za bundle na Polepole na Gwajima???
Hawana tofauti na MTU aliyechafukwa tupo anayekimbilia kule mahala, hajihangaishi kinatoka kitu gani mradi kitoke tuu
 
Mbona wao wanaita wenzao shithole au manyani na hulalamiki au ndio kunya anye kuku.....
Two wrongs cannot make one right! Lakini pia huwezi kutakata kwa kumchafua adui yako!! Sema hoja yangu ni mshangao tu, vile ulivyo na uwezo wa hapo hapo kumtaja mwenyenzi Mungu na hapo hapo kubagua na kuita wanadamu wenzako MABEBERU, ni kipawa cha pekee!
 
Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Kwa hali ilivyokuwa leo hapa Dodoma Magufuli kesho utasikia kakimbilia Chato. Maana hajaamini macho yake. Anajiuliza hawa wagogo nimewaletea ikulu lkn bado wanamshqbikia Lisu hivi!!? Kumbe huwa wananichwkea kinafiki??
 
Mm nashangaa sana picha za matukio ya leo hapa Dom zimegoma kila Nikituma najibiwa kwa un'geng'e kama hivi you have no permission to post...... "
Sasa najiuliza ninakosea wapi?
😔
Nami nashangaa.. labda maripota wamepigwa pini kwa maelekezo toka juu
 
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?

CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid...
Na sisi hatumpi kura mtu aliye jaa siasa za matusi ,kejeri na ubaguzi,
hakuna anachoeleza namna gani atafanya inchi ipige hatua,

Endeleeni kujidanganya,inchi itawaliwe na agent wa wakoloni,
Endeleni na kura za mitandaoni, sisi mashinani tunazoa zote
 
Subirini mtanange uanze ndiyo mtaamini kama mgombea wenu ana ubavu wa kuzunguka nchi nzima bila kurudi tena ubeligili kwa check up.Tanzania ni square km 945,000.Inahitaji msuli kuizungukia
Hivi wewe unadhani Tundu sio fit? Majeraha ya mishono ya mwili sio sawa na anayewekewa booster ya moyo.
Hujui kuwa kuna mtu ana recharge moyo kama simu ya Android?
 
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?

CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid...
Walisema ukiwa na cherehani mbili ni kiwanda. Hawa kweli mataahira.

Wanadai kuna amani nchini, watu wanapigwa risasi hadharani, wahalifu hawakamatwi. Watu wanapotea hakuna uchunguzi, kauawa Akwelina DPP kibabe anasewa" tumefunga jalada, kesi isijadiliwe" wajinga pekee ndiyo wataichagua ccm.
 
Hivi wewe unadhani Tundu sio fit? Majeraha ya mishono ya mwili sio sawa na anayewekewa booster ya moyo. Hujui kuwa kuna mtu ana recharge moyo kama simu ya Android?
Haya mambo ndo huwa siyataki.
Siyo kwamba nakupinga ulivyosema kwani najua umechokozwa, lakini ninachoshangaa ni pale mtu anapokejeli afya ya mwenzake tena ambaye anajua wazi amesababishiwa matatizo ya kiafya na watu kwa roho zao za kutu.
 
safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…