Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Tushinde
Mshinde njaa ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushinde
Mkuu October uwe mvumilivu
Weka picha ya machoziNiko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Bangi unavuta wewe ambaye hata hujui unachangia nini,aliyekuambia kampeni zimeanza ni Nani? Kasome ratiba iliyotokewa na NEC ndiyo uje ulete huu utaahira wako tena hapa.si mshaambiwa muda wa kampeni ruksa kuanza, kwan kuna mtu amewasumbua? tatizo lenu bangi nyingi icho chama, kule hai ndo kabisa mbowe kanusurika kupigwa mawe, uku dodoma ndo yaani usipime! muache bangi sasa mda umeisha
Wanafahamu hawawezi. Wanajaribu kupiga propaganda lakini wanafahamu hata kura M2 kwa wao wote hawatapata.Jidanganyeni tu magwanda
Pamoja na maendeleo aliyoyaleta,Kaburu afrika kusini haikua nchi yake, ndo maana wazawa walikua na sababu ya msingi ya kupigania uhuru wa kujitawala na kupinga ubaguzi wa rangi. Sasa unataka hapa Tanzania Mimi nipinge nini labda? Tunajitawala wenyewe na maendeleo yanafanywa nasisi wenyewe.Kama ni hivyo ndio vinakufanya uwe muoga na mnafiki, ungekuwa Afrika kusini mpaka leo ungekuwa chini ya makaburu.
Yeye ameongea kama mkuu wa nchi. Hayo mengine unayosema wewe ni siasa za kawaida sana.Pigo la nini, au yeye ndio huwa anaviagiza hivyo vyombo kutumia nguvu? Na lile kundi la watu wasiojulikana nalo kalipeleka likizo?
Vipi Tume kutokufanya kazi Nanenane? Ulikomaa utadhani unakunya mawe kwa kukakamaa, unatia aibu jinsi unavyo komalia uongo na roho yako mbaya.Unataka kurushwa bure? Media Sio charity organization!! Watu wanalipia leseni na TRA wewe unataka free ride?
Hawana tofauti na MTU aliyechafukwa tupo anayekimbilia kule mahala, hajihangaishi kinatoka kitu gani mradi kitoke tuuKabla ya ku comment huu upuuzi wako hapa labda nikuulize uliisoma vizuri na kuielewa comment yangu??? Au umekurupuka tu kuja kujibu baada ya kupewa hela za bundle na Polepole na Gwajima???
Two wrongs cannot make one right! Lakini pia huwezi kutakata kwa kumchafua adui yako!! Sema hoja yangu ni mshangao tu, vile ulivyo na uwezo wa hapo hapo kumtaja mwenyenzi Mungu na hapo hapo kubagua na kuita wanadamu wenzako MABEBERU, ni kipawa cha pekee!Mbona wao wanaita wenzao shithole au manyani na hulalamiki au ndio kunya anye kuku.....
Kwa hali ilivyokuwa leo hapa Dodoma Magufuli kesho utasikia kakimbilia Chato. Maana hajaamini macho yake. Anajiuliza hawa wagogo nimewaletea ikulu lkn bado wanamshqbikia Lisu hivi!!? Kumbe huwa wananichwkea kinafiki??Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
We baki na miimvi yakoJidanganyeni tu magwanda
Nami nashangaa.. labda maripota wamepigwa pini kwa maelekezo toka juu
Na sisi hatumpi kura mtu aliye jaa siasa za matusi ,kejeri na ubaguzi,Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?
CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid...
Hivi wewe unadhani Tundu sio fit? Majeraha ya mishono ya mwili sio sawa na anayewekewa booster ya moyo.Subirini mtanange uanze ndiyo mtaamini kama mgombea wenu ana ubavu wa kuzunguka nchi nzima bila kurudi tena ubeligili kwa check up.Tanzania ni square km 945,000.Inahitaji msuli kuizungukia
Walisema ukiwa na cherehani mbili ni kiwanda. Hawa kweli mataahira.Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?
CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid...
Haya mambo ndo huwa siyataki.Hivi wewe unadhani Tundu sio fit? Majeraha ya mishono ya mwili sio sawa na anayewekewa booster ya moyo. Hujui kuwa kuna mtu ana recharge moyo kama simu ya Android?
Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais.
===
Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada ya kupigwa risasi.
Fuatilia baadhi ya matukio na picha mbalimbali za tukio hilo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Lissu akiwa amewasili katika Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kati zilizopo jijini Dodoma na kupokelewa na viongozi mbalinbali wa Chama, wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA, kabla ya kuelekea Ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu, leo Jumamosi 08/08/2020.
====
TUNDU LISSU AFIKA OFISI ZA NEC KUCHUKUA FOMU YA UTEUZI
View attachment 1530861
View attachment 1530862
View attachment 1530863
Mgombea Urais Tanzania kupitia Chama cha CHADEMA, Tundu Lissu amefika katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua fomu ya Uteuzi ya kugombea Urais
Lissu amefika katika Ofisi hizo na Mgombea Mwenza Salum Mwalim huku wakiwa wamesindikizwa na Wanachama wengine. Wamekabidhiwa fomu hizo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage
Uchukuaji fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza Agosti 5 hadi 25,2020.
Lissu amechukua fomu, wamezihakiki na kujiridhisha kisha wameondoka katika Ofis za NEC ili kuendelea na taratibu nyingine za kichama.
#JamiiForums #Siasa #JFSiasa #Uchaguzi2020
[/QUO
hakuna mtu kupita kimteremko mwaka huu