Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Kijana acha kudanganya nafsi yako!

Hata ukishawishi watu milioni Lisu hatazidi 20 % ya kura
 
Ukosefu wa ajira upo duniani kote , hilo lijisu litafanya nini cha ziada? Na makelele yake mengi alionayo?
 
Chama cha kusherehesha chaguzi!
Kelele nyingi mwisho hakuna kila kitu.
 
Tukana mengine tena!

Maana unavyozidi kutukana ndio mafuriko ya kumsindikiza Lisu kuchukua form yanaongezeka na kura kwa Lisu za mng'oa jiwe oktoba zinaongezeka!

Ni mafuriko dodoma!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dada umeona video lakini?
 
Mulaumu technologia ndio inayopunguza ajira duniani kote, vinginevyo ni gia za kuombea kura hakuna jipya.
 
MIUNDOMBINU KAMA BARABARA, SHULE, RELI NA HOSPITALI HATA WAKOLONI WALIJENGA TENA KWA UBORA ZAIDI YA WANAOJENGA LEO. TULICHOKOSA HADI KUWATIMUA NI KUDHALILISHA UTU WETU, KUMINYA DEMOKRASIA, KUTUNYIMA FURSA YA KUTOA MAONI YETU, MAWAZO YETU, KUTUSHUSHA HADHI YETU NA KUONEKANA WAO WANAJUA KILA KITU. HUYU ALIYEPO ANA SIFA ZA KIKOLONI. TUNAMTAKA LISSU KWA UDI NA UFUMBA. ATAFUTE NJI YA KUKIMBILIA
 
Ukosefu wa ajira upo duniani kote , hilo lijisu litafanya nini cha ziada? Na makelele yake mengi alionayo?
Tofautisha ukosefu wa ajira na kuajili watu kwa upendeleo wew Taga.
 
Huyo unayemtaka awe mgombea mwenza anatokea upande gani wa muungano?
 
Hii ndio kampeni yako kwa Lissu? Basi sawa!
 
Kijana acha kudanganya nafsi yako!

Hata ukishawishi watu milioni Lisu hatazidi 20 % ya kura
Mkuu Mimi nakuelewa, watanzania wetu ndo ninyi ambao chama chenu ni muhimu kuliko maisha yenu naya watoto wenu.kuna mtu hapa jirani yangu ana hard ware,kabla ya Magu eneo lake lote lilikuwa linajaa matofali,Sasa hivi hata matofali 1000 hana kwenye site na still anamsifu sana magu.mwanaccm wa kawaida huanza kuelewa kuhusu maisha yake na familia yake anapoingia kaburi
 
Dada umeona video lakini?
Hahhahah.. Video nmeona hakuna kitu yani pamoja na mbwembwe zote toka juzi kwamba dodoma imejaa kumsubiri Lisu lakini kaenda kama mkiwa,!

Hata hivyo ni Jiwe tano tena hadi 2025 hutaki kunywa sumu ufe..

Haya niite tena dada maana hilo ndio furaha yako.
 
ulalamishi ndio silaha ya upinzani asingejenga mngelalamika pia, hamna jipya chini ya jua.
 
Huna lolote mkuu jiqndae tu kwa kipigo hapo oktoba
Mkuu Mimi nilipoteza kitambulisho Cha kupigia kura na sikuona sababu ya kwenda kujiandikisha,Ila ikitokea Kuna watu wanataka kuiondoa ccm madarakani kwa nguvu,lazima nitoke na sime yangu nikawaunge mkono
 
Tusidanyane na wala msijifariji!.Kiuhalisia ni ngumu sana kukataa jitihada za rais Magufuli ni mtu aliyeifanyia mambo makubwa sana Tanzania na anahitaji muda zaidi ili taifa letu liendelee kupiga hatua kubwa zaidi.
Ukiangalia kiuwalisia Lissu pia ni mtu mwenye uweledi kutokana na elimu yake ya sheria lakini ni mapema mno kwasasa kwa yeye kuingia madarakani ingempendeza zaidi angegombea 2025.Ila kwa Sasa ni anatafuta sympathy tu, kura atakazo pata ni chache sana huo ndo ukwel mchungu. Yaan mtu kakaa Belgium huko miak 3 alafu simply eti anagombea Urais kisa alipigwa risasi kwamba ataonekan shujaa na kupata kura za huruma!. Never ! Urais sio kama kuokota dodo chini ya muembe.
 
Time will tell


*everything is under control*
*everything is under planned*
it's Only God who know about tomorrow
 
Tofautisha ukosefu wa ajira na kuajili watu kwa upendeleo wew Taga.
Ajira hakuna, korona ndio imeongeza tatizo kabisa hilohalina ubishi zaidi ya hapo ni propaganda za kuomba kura , hilo halina ubishi, #hamna jipya chini ya jua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…