Achana nao hao kamanda wenye akili timamu tunawapigia wasema kweli tu kama hawaHivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?
CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid.
Ajira za kwenye miradi mikubwa tu ni zaidi ya milioni 6.
Utawapaje kura watu waongo, wanafiki na wazandiki kiasi hiki.
Ajira zingekuwa nyingi hivi nisingeona classmates wangu wengi wakilishwa na mama zao.
huna hojaUgumu wa maisha Jpm kausababisha vipi??Tatizo mirija ya pesa hakuna ndo Mana mnalalamika ugumu was maisha, watu waliozoea pesa za janja janja !. Sa hivi hakuna . Unaposema Ajira mbona serikal imeajir karb madaktar 1000 na kada ya ualimu?..Serikali haiwez kuajir watu wote, ndo mana kuna private sectors . Matusi kwa mawazir so what?? Yupi alishatukanwa? Kama ni uzembe si wanafanya wao. Ndo mana serikalini nidhamu imerudi tofauti na tawala zilizopita.
Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo hayaletwi na pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni lazima kwani ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na wananchi wa kawaida wasio na vyama wala upande wowoteKuna ushahidi gani huyo Mtanzan8a anajali utu wakati kwa kauli na matendo ni mtu mnafiki, mwenye majivuno, hasiheshimu mamlaka?
Kwa kuwa "hujui kuwa hujui" ndiyo maana thamani ya miundo mbinu imara na bora kwako si kitu.
Kwanini kuwaita mabeberu kuja kutufanya watumwa kwenye nchi yetu wenyewe , kwanini tusilime wenyewe? Hapo hakuna uzalendo wala nini , dili la kuuza nchi hilo..Atajenga viwanda ambavyo CCM wamechukua pesa wakazitumia kudidimiza demokrasia, ataleta wakulima wa kimataifa kuja kulima mashamba makubwa kwenye mapori kutoa ajila na pia kuingiza pesa za kigeni kwa kuuza nje na Nchi Jirani
Kuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa idara fulani fulani wameishaanza kuandika barua za kujiuzulu , wanaogopa utawala mpya wa Rais Lissu
Ukweli upi?Ukweli mchungu
Mkuu nakuhakikishia kwamba Lissu anatwaa nchi , unaambiwa kote walikokuwa wanaiunga mkono ccm wamechokaUkweli mchungu
Hakuna kitu kama hichoKuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa idara fulani fulani wameishaanza kuandika barua za kujiuzulu , wanaogopa utawala mpya wa Rais Lissu
Mkuu usipige kura!
Tulia dawa ikuingie maungoniUkosefu wa ajira upo duniani kote , hilo lijisu litafanya nini cha ziada? Na makelele yake mengi alionayo?
Kichwani una mawenge ya lissu, kwanini kuniwekea maneno kinywani mwangu?Sasa kwanini umdhalilishe rais wetu kumlinganisha na watu wengine duniani? Rais wetu amejenga viwanda vingi zaidi ya vile vilivyojengwa na wajapani kwa miaka 100,yeye amevijenga kwa miaka mitano Sasa hilo tatizo la ajira Tanzania linatoka wapi?
Chama cha kusherehesha chaguzi!
Kelele nyingi mwisho hakuna kila kitu.
Taarifa ni kwamba ameruhusiwa kukimbilia Rwanda , ila ni lazima atapimwa coronaBahati mbaya Bashite alishapigwa ban ya kuingia USA, vinginevyo nayeye muda huu angekuwa ashakimbia nchi.
Labda akimbilie Burundi kwenye jamaa zake maana huu moto wa lissu ni sawa na kimbunga.
Mulaumu technologia ndio inayopunguza ajira duniani kote, vinginevyo ni gia za kuombea kura hakuna jipya.
Hii ndio kampeni yako kwa Lissu? Basi sawa!
UnajifarijiTafuta kazi ya kufanya mkuu , ccm mwisho wake oct 28 , ni masikitiko sana ! hasa kwa nyie mliokuwa mnalopiwa hadi kodi za nyumba .
Dawa imewaingieni nyie mawenge meengi ,Top in dar anawatafuta.Tulia dawa ikuingie maungoni