Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?

CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid.
Ajira za kwenye miradi mikubwa tu ni zaidi ya milioni 6.

Utawapaje kura watu waongo, wanafiki na wazandiki kiasi hiki.

Ajira zingekuwa nyingi hivi nisingeona classmates wangu wengi wakilishwa na mama zao.
Achana nao hao kamanda wenye akili timamu tunawapigia wasema kweli tu kama hawa
 

Attachments

  • Lisu.mp4
    12.7 MB
Ugumu wa maisha Jpm kausababisha vipi??Tatizo mirija ya pesa hakuna ndo Mana mnalalamika ugumu was maisha, watu waliozoea pesa za janja janja !. Sa hivi hakuna . Unaposema Ajira mbona serikal imeajir karb madaktar 1000 na kada ya ualimu?..Serikali haiwez kuajir watu wote, ndo mana kuna private sectors . Matusi kwa mawazir so what?? Yupi alishatukanwa? Kama ni uzembe si wanafanya wao. Ndo mana serikalini nidhamu imerudi tofauti na tawala zilizopita.
huna hoja
 
Leo ukiwauliza wapenzi wa Lissu wakupe hoja ambazo zitamfanya Lissu kumshinda JPM sidhani kama atakupa mwenyewe Lissu mpk leo hakuna solution aliyosema kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi zaidi ya kupiga kelele na kutoa lawama tu.
 
Kuna ushahidi gani huyo Mtanzan8a anajali utu wakati kwa kauli na matendo ni mtu mnafiki, mwenye majivuno, hasiheshimu mamlaka?

Kwa kuwa "hujui kuwa hujui" ndiyo maana thamani ya miundo mbinu imara na bora kwako si kitu.
Maendeleo siyo Hisani za CCM maendeleo hayaletwi na pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu, maendeleo ni lazima kwani ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na wananchi wa kawaida wasio na vyama wala upande wowote
 
Atajenga viwanda ambavyo CCM wamechukua pesa wakazitumia kudidimiza demokrasia, ataleta wakulima wa kimataifa kuja kulima mashamba makubwa kwenye mapori kutoa ajila na pia kuingiza pesa za kigeni kwa kuuza nje na Nchi Jirani
Kwanini kuwaita mabeberu kuja kutufanya watumwa kwenye nchi yetu wenyewe , kwanini tusilime wenyewe? Hapo hakuna uzalendo wala nini , dili la kuuza nchi hilo..
 
Bahati mbaya Bashite alishapigwa ban ya kuingia USA, vinginevyo nayeye muda huu angekuwa ashakimbia nchi.

Labda akimbilie Burundi kwenye jamaa zake maana huu moto wa lissu ni sawa na kimbunga.
Kuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa idara fulani fulani wameishaanza kuandika barua za kujiuzulu , wanaogopa utawala mpya wa Rais Lissu
 
Sasa kwanini umdhalilishe rais wetu kumlinganisha na watu wengine duniani? Rais wetu amejenga viwanda vingi zaidi ya vile vilivyojengwa na wajapani kwa miaka 100,yeye amevijenga kwa miaka mitano Sasa hilo tatizo la ajira Tanzania linatoka wapi?
Kichwani una mawenge ya lissu, kwanini kuniwekea maneno kinywani mwangu?
 
Bahati mbaya Bashite alishapigwa ban ya kuingia USA, vinginevyo nayeye muda huu angekuwa ashakimbia nchi.

Labda akimbilie Burundi kwenye jamaa zake maana huu moto wa lissu ni sawa na kimbunga.
Taarifa ni kwamba ameruhusiwa kukimbilia Rwanda , ila ni lazima atapimwa corona
 
Back
Top Bottom