Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

By the way mtu anayeleta maendeleo ila hathamini utu wa watu huyo kwangu simthamini kabisa. Tundu lisu najua hataweza hata punje kuleta maendeleo lakini atajali sana utawala wa haki na sheria, sitarajii kusikia watu wakipotea chini ya tundu lisu.Mungu atutangulie atuwezeshe.
 
Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Endelea kujipigisha puli na nyege mwenyw
 
Nhiii..... Nimecheka kimeko meko😀😀
 
Hapo ndipo ambapo huwa mnashindwa...kuwakejeli na kuwatukana wote wanaoiunga mkono CCM kuwa eti hawana akili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…