Chwekamu
JF-Expert Member
- Nov 1, 2017
- 507
- 497
Tundu Antipas Mughway Lissu anampasua kinyesa MwanamalundiKuwa Magufuli atashinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Antipas Mughway Lissu anampasua kinyesa MwanamalundiKuwa Magufuli atashinda.
Naona alipo upo..hahahaaaa si ulikuwa unamtukana Magufuli wewe! Yani ndani ya muda mfupi tu unapelekwa pelekwa kama wafuasi wa wasanii kule instaJidanganyeni tu magwanda
Kama hofu yote io inaukwel basi hatakiw kushindana mana nyie mnao waona wapo Sawa ni chadema wenzenu sijui mkichukua Nchi mtaiongoza vip
Ni Yeye2020Ni yeye tu metoka ikungi
Endelea kujipigisha puli na nyege mwenywNiko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Wamejiandikisha na wanasifa ya kupiga KURA?
Kweli aloo,mfanyie mpango akipigwa japo kagoli kamojaEndelea kujipigisha puli na nyege mwenyw
Akupige japo goli moja,mfanyie maarifa atakupa japo hela ya supuKweli aloo,mfanyie mpango akipigwa japo kagoli kamoja
Hapo ndipo ambapo huwa mnashindwa...kuwakejeli na kuwatukana wote wanaoiunga mkono CCM kuwa eti hawana akili..Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atampigia kura mgombea wa CCM?
CCM inawadanganya Watanzania kuwa ndani ya miaka 4-5 wamejenga viwanda 8477 , viwanda vingi kuliko vile vya Japan vilivyojengwa kwa miaka 100. Very stupid.
Ajira za kwenye miradi mikubwa tu ni zaidi ya milioni 6.
Utawapaje kura watu waongo, wanafiki na wazandiki kiasi hiki.
Ajira zingekuwa nyingi hivi nisingeona classmates wangu wengi wakilishwa na mama zao.
Muda badoTupieni ma picha, acheni longo longo, tunafanya tathmini
Vigori wa Kigogo ...siyo?!Tupo njiani kumlaki Ni YEYE YULE View attachment 1530554
HahahahaPicha sijui mnafungia mandazi.