uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
😅
Weka akiba ya maneno kamanda, views sio kura.
Kwani kasema kura? Wewe ndo umesema kura, wewe ndo uweke akiba ya maneno! Haya buku 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅
Weka akiba ya maneno kamanda, views sio kura.
Jimbo la YouTube, Kenya, Uganda na Egypt! Eti ndo unategemea upate kura za kule Usesula? Hahahaha chandimu bwana!Week hii nzima no# 1Trending Yotube Tanzania, Kenya, Uganda, Egypt etc imekuwa ni headline ya Tundu Lissu kuteuliwa kugombea urais na chama chake.
mh wenda kweli maana dunia ya sasa balaa sana maana binafsi mtandao wang ni jf na je ipo mitandao mingapi so yawezekanaWe jamaa muongo balaa, unajua watu bilioni moja wewe?
Wape taarifa matarishi wa LumumbaWeek hii nzima no# 1Trending Yotube Tanzania, Kenya, Uganda, Egypt etc imekuwa ni headline ya Tundu Lissu kuteuliwa kugombea urais na chama chake.
nje ya madaKwani hao bilioni ndo wamejiandikisha NEC kuwa ni wapiga kura wa Tanzania? Sijui mtajifunza lini, hadi dunia inaisha kila uchaguzi mtalalamika kuibiwa kura kwa mtindo huu mnaoendanao, na majimbo yenu ya mtandao
Hii habari ni mbaya sana kwa upande wa pili wa shilingi na inaweza kusababisha watu wakalazwa hospitalHii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .
Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Hakika mkuu hata wao wanajua ingawa wanajibaraguza tuNi Mungu tu lissu ndo nabii
Kwani jana mzee meco ilikuwaje? [emoji23][emoji23]Inawezekana kabisa tena iyo idadi itaongezeka
Labda kama hujui hesabu ni wewe lumumbaWe jamaa muongo balaa, unajua watu bilioni moja wewe?
Na tatizo hili la kupumua ni hatariUkimuua mtu kwa pressure mimi simo
Safi Sana!Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Lumumba wamezidi kuchanganyikiwa maana wanapigwa kila sehemuni mitandaoni mkuu , siyo mimi .
Hajasema kuwa ni kura bali amesema watazamaji walio fuatilia uchukuaji wa form wamevunja rekodi[emoji28]
Weka akiba ya maneno kamanda, views sio kura.
Kununua jogoo kwa laki moja na matusi ndiyo kura. Si ndiyo hivyo?😅
Weka akiba ya maneno kamanda, views sio kura.
Umeona hapo kuna 1 + 1 ?Labda kama hujui hesabu ni wewe lumumba
Mhhh hata hueleweki, we ulitaka umati wa nini ofisi za tume. Umati upo kwa MwamposaAisee.....
mkuu sio maneno mazuri haya na mungu hakuwai niambia, tafadhali tujifunze lugha ya staha, hata akiondoka madarakani bado anabaki kama mzee mstahafu na bado yapo machache kama sio mengi kwa kiongozi elie madarakani kumpaia, tafadhalini ndugu zangu huu sio wakati wa jazba ambazo hazitujengi kama watanzaniaIkiwezekana atangulie tu mbele za haki
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye