Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Week hii nzima no# 1Trending Yotube Tanzania, Kenya, Uganda, Egypt etc imekuwa ni headline ya Tundu Lissu kuteuliwa kugombea urais na chama chake.
Jimbo la YouTube, Kenya, Uganda na Egypt! Eti ndo unategemea upate kura za kule Usesula? Hahahaha chandimu bwana!
 
Kwani hao bilioni ndo wamejiandikisha NEC kuwa ni wapiga kura wa Tanzania? Sijui mtajifunza lini, hadi dunia inaisha kila uchaguzi mtalalamika kuibiwa kura kwa mtindo huu mnaoendanao, na majimbo yenu ya mtandao
nje ya mada
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Hii habari ni mbaya sana kwa upande wa pili wa shilingi na inaweza kusababisha watu wakalazwa hospital
 
Ikiwezekana atangulie tu mbele za haki
mkuu sio maneno mazuri haya na mungu hakuwai niambia, tafadhali tujifunze lugha ya staha, hata akiondoka madarakani bado anabaki kama mzee mstahafu na bado yapo machache kama sio mengi kwa kiongozi elie madarakani kumpaia, tafadhalini ndugu zangu huu sio wakati wa jazba ambazo hazitujengi kama watanzania
 
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye

Ni kweli maana wataelewana ktk siasa za geopolitiki.

Nimeona leo Dodoma hata Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi jaji mstaafu msomi mwanasheria akionesha body-language anamkubali TAL , pamoja ya Jaji mstaafu kutumia uzoefu na jitihada zote kuficha heshima aliyonayo kwa mwanasheria nguli mwenzie.

Naona jaji mstaafu anatamani ipatikane Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa na hakuna mwingine zaidi ya TAL anayeweza kufanikisha hilo kwa maslahi mapana ya ustawi wa nchi hii na pia watumishi waandamizi kuchoshwa kuburuzwa na kupokea maangalizo toka mitaa ya Lumumba.

Ukiona elite class /wasomi na wananchi wa kawaida wote wanaonesha mahaba ya mabadiliko ujue sasa ndiyo wakati umewadia wa tukio la kihistoria la kufanyika changing of the guards, yaani watu wapya kabisa wanaenda kupelekwa kushika hatamu za maamuzi kupitia kuchaguliwa kwa kura nyingi.
 
Back
Top Bottom