Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...

Watanzania waichoke Chadema kwani lini iliwahi kushika madaraka na;

1. Kadhoofisha uchumi wa nchi kiasi cha kusababisha maumivu kwa wananchi wengi wa kawaida.

2. Kutoongeza mishahara ya wafanyakazi kwa maiaka 5 mfululizo wakati gharama za maisha zikipanda kila mwaka kiasi cha kuwafanya wawe masikini zaidi.

3. Kwa kuongeza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kutokana na kuelekeza fedha nyingi za nchi kwenye miradi michache mikubwa isiyozalisha ajira kwa wananchi walio wengi.

4. Kwa kuichonganisha nchi yetu na mataifa marafiki kiasi cha kunyimwa misaada ya maendeleo iliyokuwa inasaidia kujazia akisi bajeti yetu, hasa kipindi hiki ambacho mapato ya serikali yameshuka kutokana na biashara nyingi kufungwa na wafanyabiashara wakubwa baadhi kuondoka nchini?

Wananchi waichoke Chadema kwa kuwadabahishia lipi? Hebu subiri TL aanze kuzunguka mikoani ndipo uje na huu uzi wako.

Kuipima Chadema kwa tukio la Dodoma...tena Dodoma... ile ya watu wachache na wengi wao pale mjini wakiwa ni wafanyakazi wa serikali?

Subiri uone akija Arusha, halafu Dar, Mwanza, Mbeya, Tanga, Kagera, Morogoro,...

Subiri utaongea tena.
 
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye
Mungu wetu sikia kilio chetu tunaamini ulituletea magufuli Kama adhabu kwa taifa.😭😭😭😭😭
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .

Ni YEYE 2020.
 
Inawezekana ni kweli ila mkuu tuwekee chanzo cha hii taarifa yako
Screenshot_20200809_041609.jpg
 
Hapo vip!!
Leo nimeangalia msafara wa Lissu wakati anaenda kuchukua form na wakati anarudi, kwa kweli msafara wake ulikuwa kama msafara wa kugombea uenyekiti wa mtaa...
Kama utalipwa kwa post hii basi mwajiri wako no punguani.
 
Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Ubovu lissu angekuja baada ya 5 years hapo sawa ila woi hatoshinda lazima j ashinde
 
Sina usemi kwanini atashinda na huu mwaka.
hivi hao watu wanaosema akimaliza hii miaka watamchagua tena sindio hali itakuwa si hali?
 
Haki bin haki ikitendeka huyu bwana ana kura nyingi mno kwa kuwa hata wa upande wa pili watampigia tu..anyway siasa hazikuwahi kuwa fair!
Hizo ndiyo facts!! Tundu Lissu ndiye Rais ajaye. Naamini hata CCM kindakindaki kama akina Nape, Mangula, JK, Makamba watampigia Tundu Lissu kura za U-rais.

JPM atapata za kile kikundi chake cha wateule kama Makonda, Calamila, Kabudi na Ummy Mwalimu
 
Pole sana kwa muliye musubiri arudi.. ati ndo mulimufikiria kutaka aongoze Nchi.. 😃😃😃😃.. ni vizuri umeamua kuwandika uwongo na mipasho.. uongo huu ati bilioni.. 😅😅😅 ona tu Aibu kimoyomoyo😃😃😃

Magifuli 2020
 
Mkutano wa sisi emu ulikuwa unaoneshwa kwenye TV. wachadema haukuwa kwenye TV kama walionesha basi sio Tv zaidi ya 2.. Kwahyo watu wameamua wautafute kupitia Online TV
Tanzania ina watu milioni 50 sasa hao bilioni wametoka wapi...Dunia inatutazama mkiiba kura mtajuta kama Jammeh wa Gambia
 
Pole sana kwa muliye musubiri arudi.. ati ndo mulimufikiria kutaka aongoze Nchi.. 😃😃😃😃.. ni vizuri umeamua kuwandika uwongo na mipasho.. uongo huu ati bilioni.. 😅😅😅 ona tu Aibu kimoyomoyo😃😃😃

Magifuli 2020
Kumbe huu ndio uandishi wako??
 
Back
Top Bottom