Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Hii comment iko sawa kabisa, Chadema hawakuwa na haja ya kutafuta VP maana wanajua wanatafuta wabunge tu. Kama wangekuwa na nafasi ya kushinda urais Mbowe asingemwachia mtu yeyote agombee ila yeye tu.Hata mimi niliwaza sana jana kuona mwaliu akisaini fomu pale tume, nikawaza hivi hawa wako serious na nchi kweli, yaani uwakabidhi nchi watu ambao akiri zao wote hazieleweki?..
Watanzania wote ni sawa.Na isitoshe hebu niambie wewe kwa akili zako hao ambao wana madegree sita sita wamefanya kipi kikubwa ambacho hakijafanywa na viongozi wengine walioongoza bila kua na vyeti na madarasa mengi.Yaani CHADEMA ni kituko sana, Salum Mwalimu awe mgombea mwenza wa Tanzania.. Haaaa haaaa, inachekesha sana, yaani someone who has the lowest thinking ability, Form 4 certificate, tena div 4, almost div 0, akaenda journalism akapata certificate, with unknown lowest academic background, yaani senseless choice kabisa.. Kituko sana, ukiambiwa CHADEMA wana matatizo ya kufikiri mnakataa, yaani kweli Salum ni mgombea mwenza, watabakia kuusikia urais kwenye TV tu hawa. Watu wana mzaha sana, ujue tunaongelea Mgombe mwenza wa Urais Tanzania, alafu CHADEMA wanachagua kibuyu hovyo kabisa, aibu tupu, yaani.. [emoji848]
Nn cha ajabu mbonaHivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Tatizi kubwa la CHADEMA ndio hilo. Kusifia kila aina ya takataka.Hivi jaribu kuwa mkweli wa Roho yako, Mwalimu anayegombea na John wenu aliye kwenye kiti kikuu waweza kuwaweka meza moja ya mjadala wa uelewa wa mambo?
Au wewe unazungumzia vipimo vya ukubwa wa kitambi?
Acheni kujidhalilisha na hoja kama hizi za kijinga. Mwalimu is the right person kwa wakati tulio nao.
Kwahiyo unataka kujaribu kuhalalisha Taifa letu liongozwe na wajinga? Ndio mawazo yako hayo!?Watanzania wote ni sawa.Na isitoshe hebu niambie wewe kwa akili zako hao ambao wana madegree sita sita wamefanya kipi kikubwa ambacho hakijafanywa na viongozi wengine walioongoza bila kua na vyeti na madarasa mengi.
Ingekuwa Ni jinga km wewe umeteuliwa ndio tungeona Ni mzaha.Acheni utani kwenye mambo serious...acheni kutufokea!
Kama jiwe ameweza kuwa Rais nani nchi hii ashindwe kuwa makamuEti Huyu bwana Mwalimu ndio awe Makamu wa Rais wa JMT?kweli Tanzania ndio imefikia hapa?
Utawezaje kuelewa wakati wewe mwenyewe huna exposure yyte ya mambo zaidi ya ushabiki maandazi.Tatizi kubwa la CHADEMA ndio hilo. Kusifia kila aina ya takataka.
Acha kumfananisha JPM na vitu vya hovyo tafadhali.
Note: Mwalimu mmechemka vibaya sana. Ukiachana na mengine yote, hana taswira ya kiuongozi. Hana kabisa!
Kwani Magu alikuwa nani?Eti Huyu bwana Mwalimu ndio awe Makamu wa Rais wa JMT?kweli Tanzania ndio imefikia hapa?
Ukweli ni huo kuwa ni mgombea wa Chadema, lakini hauondoi mapungufu ya Mwalimu na uwezo wake mdogo alio nao wa kuongoza nchi yetu na sio nchi ya Chadema...
Wajinga kivip.Nenda kasome katiba uone sifa za mtu kua kiongozi nchi hii zikoje.Hizo nyingine ni sifa za ziada ila sifa za msingi kwa mujibu wa katiba zipo.Kwahiyo unataka kujaribu kuhalalisha Taifa letu liongozwe na wajinga? Ndio mawazo yako hayo!?
Age is just a number angalieni uwezo!! Tatizo la mataga wana wana is vijana hawataki kuwapa nafasi za uongozi; wenzenu wanaonesha mfano kuwa vijana wanaweza.hivi kina Molemo huyu ndiye mgombea mwenza mtakayempambanisha na Mama wetu mpendwa Samia?
Watanzania wote ni sawa.Na isitoshe hebu niambie wewe kwa akili zako hao ambao wana madegree sita sita wamefanya kipi kikubwa ambacho hakijafanywa na viongozi wengine walioongoza bila kua na vyeti na madarasa mengi.
Wanamzidi magufuliKuna viongozi wanaongea kiingereza kizuri kuwazidi wale wa ccm ?
Weka hoja basi, Mwalimu ana shida gani kuwa makamu wa rais?Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu?? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais???
Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma
Tatizi kubwa la CHADEMA ndio hilo. Kusifia kila aina ya takataka.
Acha kumfananisha JPM na vitu vya hovyo tafadhali.
Note: Mwalimu mmechemka vibaya sana. Ukiachana na mengine yote, hana taswira ya kiuongozi. Hana kabisa!