Hii si bahati mbaya my friend its a CCM agenda na wanaanza campaign rasmi....Wanajua CDM wakishawishika waka mbadili mgombea wao watapata nafasi ya kufanya mambo mengine behind the curtains......The only mistake CDM can do is not to nominate Dr. Slaa maana huyu ndiyo tishio namba moja kwa CCM sasahivi....Tundu is good but his name is not very much advertised as it is to Dr. Slaa tena kwa slogan ambayo CCM hawapendi kuisikia Rais wa mioyo ya wa Tanzania....Ili kupunguza havoc watatengeneza margin kati ya CDM na CCM kuwa ndogo sana kiasi ambacho watu watapata moyo kwamba we are almost there tujaribu tu next time (wamefanya haya majaribio kwenye uchaguzi wa kata uliopita think kura 29,000 kata 20 plus hwere as 20,000 kwakata 5 think big...open your eyes).....Wengi wa wanaopenda iwe hivyo ni outgoing leaders maana umri wao unakwenda sasa so wanchofanya ni delay technique ili wasije vurugiwa mambo yao hayo ya baadaye ama maendeleo haiwahusu sana mtajijua nyie vijana lakini watu wanalinda maslahi yao kwa sasa the reason ya ku-resort kwenye delay tactic.....Vijana kataeni kutumiwa nchi hii sisi tuna muda mrefu wa kuishi kuliko hao wano phase out they enjoyed their time let us now build a good future for our country the future can never lie what plant today is what we are going to reap at our old age....
Its time for true change a change for the better life for each of us hao mafisadi tutawatengenezea affirmative measure kama wanaogopa kudhalilika ila pesa zetu wazirudishe adhabu tutawasamehe maana walifanya kwakudhani wanatengeneza future kumbe ubinafsi hauwezi kukutengenezea future ila utaku-destroy tu just a matter of time....
Future ya Tanzania inabebwa na CDM maana inatupa nafasi ya kuanza upya kwakujenga system mpya iyakayo kuwa inclusive na ambao ita base katika kujenga uchumi wa nchi ki-mfumo na siyo hii ya siasa kuwa short cut ya watu kutajirika kwakujiwekea monopolies na ku-exclude majority katika production systems ya nchi...Dr. Slaa is that mana who can take us through not because of anything ila kwasababu so far he has a trust of many inside his politcal party and even outside....He is also going to take aboard all abled Tanzanians who had been excluded kwasababu ya nepotism na favouratism mpaka ikaonekana eti kina J Makamba ndiyo peke yao wanaoweza zaidi ya vijana wengine ambao are very smart lakini wamefichwa kwakutumia blanket la favouratism....Vijana hao wapo ndani ya CCM kama ilivyo ndani ya CDM na hao ndiyo sasa ninao waita wakatae huu ushamba wa kuchaguliwa watu wakuwaongoza...Each of these know themselves wherever they are...Its their time and we gonna build our country....
Ame ur right bro,lakini mimi na wewe tutakubaliana baadhi na mengine tutatofautina,kwangu mimi nasukumwa na UTAIFA zaidi sina chama,ingawa naona unaniambia "Future ya Tanzania inabebwa na CDM" mimi kwangu future inabebwa na yeyote yule iwe CDM, CCM au Mgombea Binafsi kwangu shwanga!!Ilo moja.
Ukizingatia mchango wa mchambuzi na wanajf wengine ndan ya thred hii ni kuwa kuna kitu ambacho upaswi kukiogopa Mzee Mwinyi anasema kila zama na vitabu vyake.Haya ya wazee usisahau msemo wa what goes around comes around!!Hivyo nyakati nazo zinamsukumo wake ilo upende usipende.
Ndio Dk Slaa ni Pontetial Opposition Candidate lakini nikasema LIssu ni Young Sign Potential Presidential Candidate.Uwezi kwenda vitani bila matayarisho na ndio maana CCM nao wanatayarisha silaha hizo wakiwemo wakina January!! na mchambuzi huku nae akatoa taadhari kwa kuwaambia CDM yeye anamuona TINDU LIssu kwenye upinzania kama mtu ambae anuwezo wa kusimama na January ambae CCM wamesha muweka kwenye uwanja wao wa nyumbani anafanya mazoezi ya kupasha misuli joto aungane na kina usain Bolt wengine kwenye mbio za CCM na hatimae akifaulu uenda akapelekwa kwenye national stadium kwa mbio za kitaifa kama atawapiku wakina Usain Bolt wa chama chake.Na sie wengine tuka support analysis ya mchambuzi kwa uchambuzi wa majina aliyotuletea kwa jinsi kila mwanajf anavyowaona haijalishi uko chama gani!!!
Ni kweli hawa wazee wanayo yao waliyoyafanya ambayo ni madudu,lakini hayatuzuii kwenda mbele,hata aliyelogwa kwa desturi ya waafrika ufika sehemu wakesema ngoja LIMBWATA liishe,watajuta waliomlisha limbwata hilo.KIla jambo linanyakati zake.
Pia upepo wa viongozi vijana upo japo sio kiihivyo, na haustahiki kuzalauliwa ila unastahiki kupewa jicho pana, lakini upo inategemea makundi ya maslahi ya kivyama yakiongozwa na CCM yatacheza vipi mchezo huu,hii ni political game manipulation,si utendaji huu baba,hakuna sheria hapa hapa nani anatwist vipi mambo kumuaminisha Mtanzania kuwa hiki ni sahihi.Uwezi kuwazuia CCM kusimamia ajenda ya kuwaaminisha umma kuwa kiingozi kijana ndio sifa mama!!Wana haki na uwezo huo wa kuileta na kuwaaminisha umma kama wanaona kwao wao hiyo ndio sera kuu.Je upinzani nao watakaa kimya kuwa uo ni mchezo mchafu au wataingia kwenye hadhira /umma na kuwajenga umma kutofautisha au kulinganisha ubora au ujana wa mgombea wao.
Hivyo hayo mengine kuhusu ujana tulijadiliana tukijikita kwenye mazingira ambayo TAIFA linapitia,hapa cha msingi ni kuhoji dhamira zilizo nyuma ya wateuzi na kupima record ya utendaji wao bila kusahau kuwa JE hapo walipofika wamefikaje?Ndio maana wengine kwa kuchangia tukatoa taadhari kwa wanaccm kuwa kama watagiribika kuangalia dhana ya RAIS KIJANA kwa lengo la kuvuta kura za walio wengi katika kupiga kura 2015 na si matakwa ya TAIFA basi Candidate wao kwa tiketi ya CCM ni mzigo.
Wazungu wanamsemo usemo TIME WILL TELL,usihofu si lazima sana kuwa tiba ya UFISADI yaweza kupatikana CDM humo humo ndani ya CCM yaweza kupatikana tiba kali na tena chungu kuliko hata ambayo ingepatikana kupitia CDM.Mahali popote inapopatikana ama kuzaliwa conflict of interest [COI] basi msambalatiko na mnyukano uibuka na kama kawaida ukweli haufichiki uweka wazi ili kujustfy utetezi mbele ya umma na umma upima pande zote mbili na kutoa hukumu,kila mmoja akiishia kupata kile alichostahiki.Ndio maana wenzentu usema People have Spoken!!!!!!.