Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Aisee 'bmkubwa' kumbe ndo 'anaserereka' na huyu mwamba!?
View attachment 1560736
View attachment 1560736
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofauti kubwa kuongea lugha flani na kuwa mkabila au mbaguzi! Makaburu waliongea kwa kiingereza lakini walikuwa wabaguzi, unaweza kuongea kiswahili na ukawa mkabila au ukaongea kikwere na ukawa mzalendo vilevile! Nadhani tunapashwa kutofautisha mambo haya,it is the Content that matters vinginevyo weka alichoongea. Angalia mifano hii.Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma.
Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania nzima, sasa kusema kwamba kama anamwaga sera, mtu wa kule Tanga anamuelewa vip?...
Anajifananisha na nani? Shenzi kabisa. Nimechukizwa sana na mfanano huo wa kipuuzi. Halafu watz tunapenda sana kujifananisha fananisha na watu wengine sijui kwa nini. Na wakati mwingine tunajitukuza tu wakati hata hizo sifa hatuna. Kudadadeki.Huu ni udhaifu mkubwa, halafu eti ndo anajifananisha na Baba Wa Taifa, shame. Nashangaa hata wanaomtetea, huu ni ukabila wa wazi wazi.
Hivi ni kwa nini tunaanza kuujadili usukuma hapa ? Hivi tunakula chakula au usukuma ? Hivi tunaoga maji au usukuma ? Saa nyingine kuna upuuzi sana unaendelea na ni vigumu sana kuufumbia macho. Shame to you tribalists of TanzaniaYeye anafikiri mwanza wanaishi wasukuma peke yao? Wengi hapo kwenye mkutano hawamwelewi, Tanzania ina makabila zaidi ya 120 na wanaishi mikoa mbalimbali bila kujali kabila gani.
watamfanya nini sasa kwa mfano / . ?Anamuiga Membe! Halafu tume iko kimya kabisa mgombea mmoja akivunja maadili ya uchaguzi wazi wazi.
duuuuh . . . .NEC ya CCM yeye ndiye mwenyekiti wake, ukweli anazungumza kwa kiswahili ila vipazasauti vinagoogle kwa kisukuma, hivyo hana kosa.
Kuna chama Cha wachaga nchi hii? Kinajihusisha na nini?
NEC tunasubiri kuona hatua kali dhidi yake
Nyerere alisema msiyafanye makabila makubwa ya Wasukuma, Wahaya, Wanyakyusa nk kuwa watawala wakuu wa nchi, tumeishakosea, tusirudie.
Oya TBC Kila wakati inatoa miongozo ya NEC kuhusu Sheria za kampeni kuwa kampeni zote zitatumika Kwa lugha ya Kiswahili na marufuku Kwa mgombea yoyote kupiga kampeni kwa lugha isiyokuwa Kiswahili na kama wananchi wa eneo husika hawafamu vizuri Kiswahili basi mgombea ataongea Kiswahili na mkalimani atatafsiri. Baada ya kujibu hoja unaleta mipasho.Anaongea na wasukuma wenzake wewe unachowashwa ni nn?
Mgombea wa ccm alipokuwa Magu amehutubia kwa kisukuma mwanzo mwisho. Ninakushauri kaeni naye na mumwambie asiiharibu nchi yetu kwa kupanda mbegu ya ukabila.CHADEMA kinajihusisha na ubaguzi wa kikabila na kikanda.