Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

Kwa watu kama nyie nipe cost ya kutengeneza offshore rig ili utoe Gas, nipe cost ya kutengeneza LNG plant upate Gas, nipe cost ya kutengeneza pipe ya kutoa Gas baharini hadi kwenye LNG plant na kutoka hapo kufika kiwandani.

Halafu linanginisha hizo cost na cost za hydro power uone hiyo investment ya kutoa Gas tu baharini utajenga hydro power ngapi.

Ni mtu anaejiropokea tu hajui finance, hajui uchumi na kuna kikundi tu cha wapuuzi wenzie wanamsikiliza si ajabu hajui Gas inayotoka baharini imechanganyika na maji inabidi uitoe kwanza kwenye maji ndio usambaze na kama unasafirisha uirudishe tena in liquid form.

Ni mtu anaeropoka ujinga tu
What about sustainability hasa ukizingatia climate change kwenye hydro
 
Tatizo lenu amsikilizi hivi tunafahamu juzi kupitia Dr Abbas alisema LNG plant itakuwa 8 trillion TZ sh badala ya $30 billlion Zitto na wapuuzi wengine waliokuwa wanashadidia nyuma ya pazia watu walikuwa wanafanya renegotiations ya mikataba mibovu bila ya kuacha utekelezaji mikakati ya kuongeza umeme.

Ebu watanzania tujifunze kuwa na shukran Magufuli is not perfect but he did damn good job in his first kuiandaa nchi kupaa kiuchumi kupitia infrustructure project.
Wewe ni mnufaika wa utawala wa kidikiteta lazima utete tumbo lako wewe ni mpuuzi zaidi huna kigezo cha kunyooshea mtu kidole kwani huna unachokijua zaidi ya kuishi kwa kutegemea hao wanaokutuma kuandika upumbavu
 
Si ndio maana mnabaki mnaandika ujinga kwa taarifa yako sasa hivi LNG plant itakuwa roughly $4 billion dollars nyie endeleeni kuambiana upuuzi wa $32 billion; hivi unajua hiyo $32 billion ungeilipa kwa muda gani au huwa mnajipayukia tu. Kiazi wewe
Wewe mbona ni mjinga zaidi unawezaje kujua upuuzi? huna unachokijua wewe ebu acha kuleta ubishi wa kipumbavu
 
1599168723442.png
 
We nishakwambia nitajie namna tatu umeme wa nishati ya jua unavyozalishwa kwanza.

Siwezi ku discuss sustainable energy policies wakati mtu ninaejibizana nae pengine ata hajui huo umeme unazalishwa vipi let alone cost zake na ardhi unayoitaji kuzalisha megawatt elfu moja tu ya umeme wa jua au upepo.
Wewe ndiyo hujui kitu iweje utake kujifanya unajua wakati huna unachokijua zaidi ya ubishi wa kishamba
 
Hii neno super brand inaisha lini maana tangu niko mtoto nasikia tumeshinda super brand.
Haikua cheo cha mwaka tu hiki?
 
Yaani anajiropokea vitu ambavyo avielewi kabisa amekaa ulaya na kuona mambo kadhaa anadhani na Tanzania inaweza fanikisha kirahisi hivi anafahamu universal health credit inavyochangiwa kweli au anajiropokea tu.
Wewe ndiyo huelewi, hujui hata mh. Rais Magufuli ametuahidi Tanzania itakuwa kama ulaya ?? Sasa kinachokushangaza ni kipi hapo ?
 
Timu Polepole shabiki lialia wa kula kunywa kwa msaada wa ccm vichwa vinawauma watamkandia vipi Tundu lisu kwani hata Makonda kaingia humu tumempa makavu karudi nyuma kwenda kulea mapacha yako bado wengine wajinga wajinga tunaendelea kuwaangalia kwa umakini mkubwa mno.
 
Kama watz watakuwa na akili timamu,wanatakiwa kuwa mawakala wa masaa 24 mpaka siku ya kuapishwa urais, kwa kuhakikisha mtu kama lissu anashika dhamana ya nchi yao,bila ya ushabiki au ulaghai unaoletwa ili kuwa Changanya na kuwatia changa la macho watu wanaopata tabu za kila aina kwenye maisha yao.

Umaskini wa nchi tajiri kama hii ni umaskini wa kutengeza kwa maslahi ya wachache ambao wanaua uchumi kwa ulafi na uchu wa madaraka.

Ni zaidi ya miaka 50 sasa hakuna hata kitu kimoja ambacho watanzania wana uhakika nacho na wanaweza kukitegemea kwenye maisha yao,elimu,afya,ustawi wa jamii,nishati,ajira,uhuru,haki nk,hakuna chenye uhakika hata kimoja.
 
Acha kupotosha.

Hakuna Sheria inalazimisha mikataba kuidhinishwa na Bunge. Ndiyo maana hata umeshindwa kuitaja.

Ibara ya 63(3) (e) ya Katiba ya JMT 1977, inatamka kwamba Bunge litaidhinisha mikataba kati ya Tanzania na nchi nyingine iwapo mikataba hiyo ina masharti kwamba Bunge ni lazima liridhie.

Na kisheria, mikataba inayotajwa hapo ni 'treaties' between Tanzania and other states' na siyo 'contacts between Tanzania and individuals or companies' yaani mikataba baina ya Tanzania na makampuni au watu binafsi haihusiki hapa.

Na hata Kama ingehusika, hakuna mikataba ambayo inalazimika kuidhinishwa na Bunge.

Kwa hiyo, ili mkataba uidhinishwe na Bunge, ni lazima uwe ni mkataba kati ya Tanzania na nchi nyingine, na pili, mkataba huo utaidhinishwa na Bunge iwapo mkataba huo utaweka masharti kwamba unahitaji idhini ya Bunge la JM wa Tanzania.
 
Acha kupotosha.

Hakuna Sheria inalazimisha mikataba kuidhinishwa na Bunge. Ndiyo maana hata umeshindwa kuitaja.

Ibara ya 63(3) (e) ya Katiba ya JMT 1977, inatamka kwamba Bunge litaidhinisha mikataba kati ya Tanzania na nchi nyingine iwapo mikataba hiyo ina masharti kwamba Bunge ni lazima liridhie.

Na kisheria, mikataba inayotajwa hapo ni 'treaties' between Tanzania and other states' na siyo 'contacts with individuals or companies' yaani mikataba baina ya Tanzania na makampuni au watu binafsi haihusiki hapa.

Na hata Kama ingehusika, hakuna mikataba ambayo inalazimika kuidhinishwa na Bunge.

Kwa hiyo, ili mkataba uidhinishwe na Bunge, ni lazima uwe ni mkataba kati ya Tanzania na nchi nyingine, na pili, mkataba huo utaidhinishwa na Bunge iwapo mkataba huo utaweka masharti kwamba unahitaji idhini ya Bunge la JM wa Tanzania.
"na siyo 'contacts with individuals or companies'". Hapa imefanya andiko lako lote kuwa "null and void".
 
Back
Top Bottom