Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo umeamua kutupangia wananchi mgombea lazima atoke CCM! Mjinga kweli.
 
Chawa wa CCM bana, unarukia 2030 wakati tuna 2025 mbele yetu.

Afu kwemye hiyo list yako hamna hata mmoja anayetufaa - tumeshawachoka.
 
Paul Makonda kiboko ya wazembe na mafisadi
 
Japo hukuweka na upande wa pili ila hapo namuona Dr. Hussein Ali Mwinyi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…