LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
sio jelly ni jerry, jelly ni aina fulani ya samakiBashungwa,Makonda ,January na Jelly slaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio jelly ni jerry, jelly ni aina fulani ya samakiBashungwa,Makonda ,January na Jelly slaa
Siyo lazima. Anawesa kulala vibaya ukahisi anataka mapenziSwali safi sana hili, wanajf ngombe huchinjwa alivyolala
Inaonesha unapenda sana mapenziSiyo lazima. Anawesa kulala vibaya ukahisi anataka mapenzi
Mi padre na mapenzi wapi na wapiInaonesha unapenda sana mapenzi
Kwahiyo umeamua kutupangia wananchi mgombea lazima atoke CCM! Mjinga kweli.Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
Spelling😂😂sio jelly ni jerry, jelly ni aina fulani ya samaki
2025 ni Dkt Samia Suluhu HassanChawa wa CCM bana, unarukia 2030 wakati tuna 2025 mbele yetu.
Afu kwemye hiyo list yako hamna hata mmoja anayetufaa - tumeshawachoka.
😂😂Mi padre na mapenzi wapi na wapi
Mpina Yuko vizuri sanaHayo ni majangili tupu, bora ya Mpina
Case closed2025 ni Dkt Samia Suluhu Hassan
Yes,ila # 9 kaficha kitu.Umechambua vizuri sana mkuu
Paul Makonda kiboko ya wazembe na mafisadiBila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 16.
1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Hussein Mwinyi
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo
16. Juma Aweso
17. George Simbachawene
bado tumelala sana pale tunapodhani hatuwezi endelea bila CCM.Swali safi sana hili, wanajf ngombe huchinjwa alivyolala
Ni baada ya kutemwa na mfumoMpina Yuko vizuri sana
😂😂hamna kitu hapoNi baada ya kutemwa na mfumo
Ok😂😂hamna kitu hapo