Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hehehe ndio mtakapo saga meno wenye macho wameona zamani.... ngoma ni 2025 to 2035
 
Hapo kijana labda aweso tu
 
Mkuu, mie namaanisha kuwa inspired kubadilisha maisha ya wazazi hata kwa kidogo tunachojaaliwa.. Hayo ya kupata Mali kwa namna gani ni issue ingine maana mafanikio ya watu yana siri nyingi sana na kamwe huwezi kujua mtu amepitia njia gani
Sawa mkuu, lakini huyu jambazi tunajua kabisa ni dhuluma na muuaji. Ilo halina siri.
 
Na hii nchi ilivyo ,LISSU AKICHUKUA ,utashangaa machawa wote wanaanza kumpa mapambio , ole wenu machawa ,Lissu akisha apishwa siku iyo uchawa nchii unakufa siku iyo ,hakutakua na uchawa tena
 
Watanzania mpaka leo bado hamjaelewa somo alilolitoa Julius Nyerere Kilimanjaro Hotel alipoulizwa kuhusu Augustine Mrema akasema hataki kuongelea mtu atakayefaa kuwa rais anataka kuongelea sifa za ntu atakayefaa kugombea urais?

Ukimchagua kijana kuwa rais halafu akiwa ana mawazo ya kizee hapo itakuwa vipi?
 
Mbn simuoni ylega kwenye list
 
No tatu akatokea akapita yule aliemsema vibaya Bungeni itakuaje, lazima kuamia Burudi, au ndo anamteua kabisa kuwa waziri wake mkuu , dunia ngum hii
 
makonda[emoji24][emoji24][emoji24] mla rushwa mkubwa na jambazi
 
Hakuna we
Hakuna wenye kiu hapo kama namba 11 na 12...
Muda utaongea.
 
Joram Nkumbi namtabiria makubwa. Aingie kwenye uringo tena mapema tu, tena ikiwezekana awe mgombea binafsi.
 
Hivi mimi nimewakosea nini hata msinitaje? Kuna watu kwenye grass roots tunaweza sana tu, sema mmekariri hao Vijana wenu. πŸ˜‚
 
2030 watakuwa bado vijana? tunaendeleza utaratibu mpango anakaba kona
 
#2 πŸ™πŸ‘
 
Slaa, Mpina wanaweza kufanya kitu.
 
Acha ukabila mkuu
Huyu jamaa ni muadilifu
Hatujawahi kusikia kashfa yoyote alipopita
Kuwa tu mkweli mkuu
Kama hoja ni kutokuwa na kashfa Mimi naona rais wa 2030 awe mama dk Dorothy Heshima.
Huyu mama ni mtu wa watu anayejali matatizo ya watu na kuyatafutia ufumbuzi mimi naona anafaa kumrithi mama Samia 2030.
Wengine wasiokuwa na kashfa ni Ridhiwani Kikwete, Jerry Slaa Suleyman Jafo, Jumaa Aweso. Hao wote wanafaa kuwania urais 2030 lakini huyo mnyambo wa Karagwe hakuna mtu wa kumpendekeza hata 10 bora haingii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…