ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kama hana achievement ana kashfa GaniUkimya ni achievement kwenye wizara alizopita ?
Yaani alutoboa TAMISEMI fresh huyo mtu mheshimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hana achievement ana kashfa GaniUkimya ni achievement kwenye wizara alizopita ?
Sasa km Inno anaweza kuwa rais kwann isiwe kwa Luca? Likija suala la kupachikana veggies hawajali hilo km wewe ulivyotueleza.!Huyo hata ubalozi wa shina hawezi kupewa
Kwanza kabisa thibitisha yupo.Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu
Godfather wangu ni Sit God
Naona watu ama hawajui au wamesahau au wanajisahaulisha historia ya Makonda.Mkuu Kiranga. Umeongea point tupu.
Na hayo ndio maisha ya watanzania tulio wengi. Ili ufike mbali unahitaji godfather.
Unataka tu nimtukane huyo Luka wako, nipigwe ban 😀🤣Sasa km Inno anaweza kuwa rais kwann isiwe kwa Luca? Likija suala la kupachikana veggies hawajali hilo km wewe ulivyotueleza.!
mwigulu je/ huyu bashunngwa mkiendelea kumpigia kampeni mwishowe atarogwa tuWaziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030
Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini
Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,
Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko
Kufika 2030 atakuwa amehumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.
Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu
Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,
Innocent Bashungwa (Mb)
2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani
Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Pima tu TAMISEMI yake na hii ya Mchengerwa iliyojaa wizi wa kura, rushwa Almashauri, Hakuna ajira za ualimu na afya n.kTupe notable achievement moja aliyofanya kwenye wizara alizopita.
Hajui hata sehemu moja vizuri kazungushwa kama tairi bovuWaziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030
Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini
Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,
Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko
Kufika 2030 atakuwa amehumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.
Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu
Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,
Innocent Bashungwa (Mb)
2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani
Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Tena wabongo kama wewe mnaojifanya hamna ma Godfather ndio mnao ila hamsemi, mnapiga kimya.Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu
Godfather wangu ni Sit God
SItta mtu wa Tabora alikutana wapi na vip na Paul Makonda?Paul Makonda hakupanda ngazi mwenyewe.
Paul Makonda godfather wake ni Samuel Sitta, Sitta ndiye kambeba Makonda mpaka kamfikisha hapo leo.
Paul Makonda alikuwa anakaa nyumbani kwa Sitta kama mwanawe. Ni kijana wa Sitta aliyepewa cheo kwa makubaliano maalum kwamba huyu ni kijana wa Sitta.
Wewe kabla ya kujilinganisha na Paul Makonda, jiulize, godfather wako nani?
EnoughWaziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030
Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini
Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,
Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko
Kufika 2030 atakuwa amehudumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.
Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu
Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,
Innocent Bashungwa (Mb)
2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani
Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Msikilize Makonda katembelea kaburi la Sitta akiwa na Mama Sitta, Makonda anasema alivyokuwa anasoma Sitta aliukosa USpika, Makonda akahuzunika sana na kusema nani atamlipia ada?(alikuwa anasomeshwa na Sitta). Mama akamtuliza.SItta mtu wa Tabora alikutana wapi na vip na Paul Makonda?
Naona kutoka Kolomije had kuwa kijana wa SItta pia ni Jambo la kuhamasisha.
Hata hivyo Kama sijasahau SItta hayupo duniani karibia miaka 10 sasa lakin Makonda still yupo juu.