Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sky is limit

Makonda haijalishi kafikaje hapo alipo Ila ni MTU wa bahati Sana .

Kuna kitu anacho special ambacho sio rahisi watu wengine kuwa nacho anastahili kuwa hapo alipo.

Kama sio kumiliki siri nyingi za watu fulani basi yupo katika mtandao fulani.
 
Nasema hivi:
Hakuna Muhaya wala munyambo atakayekuja kuwa rais wa nchi hii.
Kosa hilo likifanyika ndani ya miaka miwili tu idara na sekta muhimu za serikali zote zitajaa wanyambo na wahaya.
Kosa hilo haliwezi fanyika hata kidogo siyo urais tu hata uwaziri mkuu hawezipewa mnyambo wala Muhaya.
Siku unakuja Bashungwa atakuwa Rais na aibu itakupata
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030

Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini

Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,

Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko

Kufika 2030 atakuwa amehumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.

Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu

Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,

Innocent Bashungwa (Mb)

2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani

Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe
Huko kubadilishwa wizara mara kwa mara ni kuepuka asije jaza watu wa kabila lake kwenye sekta na idara muhimu zilizopo kwenye wizara husika endapo atakaa muda mrefu kwenye wizara hiyo.
 
Tupe notable achievement moja aliyofanya kwenye wizara alizopita.
 
Huko kubadilishwa wizara mara kwa mara ni kuepuka asije jaza watu wa kabila lake kwenye sekta na idara muhimu zilizopo kwenye wizara husika endapo atakaa muda mrefu kwenye wizara hiyo.
Acha ukabila mkuu
Huyu jamaa ni muadilifu
Hatujawahi kusikia kashfa yoyote alipopita
Kuwa tu mkweli mkuu
 
Back
Top Bottom