Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi ambaye ni msomi haswa pia ni mbunge Jimbo la Karagwe atakuwa Rais wa TANZANIA 2030
Watu wengi hili jambo hawajalistukia, wapo usingizini
Waziri Bashungwa ndani ya miaka 5 amehudumu ndani ya wizara 7,
Hii yote siyo kibahati anapitishwa wizara mbalimbali ili ajue yaliyoko huko
Kufika 2030 atakuwa amehumu wizara nyeti nyingine hasa wizara ya fedha, wizara ya mambo ya nje, wizara ya elimu na wizara ya afya.
Kwasasa ameletwa wizara ya mambo ya ndani kunyosha watekaji, polisi wasio waadilifu, rushwa Magerezani na wahamiaji haramu
Innocent Bashungwa amekuwa kiongozi mzuri kila wizara aliyopita,
Innocent Bashungwa (Mb)
2018-2019 - Naibu Waziri Wizara ya Kilimo
2019-2020 - Waziri wa Viwanda na Biashara
2020-2021 - Waziri wa Habari, Sanaa, na Michezo
2022-2023 - Waziri wa TAMISEMI
2023-2024 - Waziri wa Ulinzi
2023-2024 Waziri wa ujenzi
2024-2025 - Waziri wa Mambo ya Ndani
Namtakia kila heri mh Rais ajaye Innocent Bashungwa, homeboy kutoka pale Bushangaro Karagwe