Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

Juzi tu apa tumeambiwa kua "Vitambulisho vya wajasiriamali" sio vya lazima, lakini leo tunaambiwa pia unaweza kupatiwa mkopo na vikatumika kwenye Bima ya afya. Je walikua wapi tukueleza haya yote kipindi zinatoka ndo wanakuja kutueleza leo kwenye Kampeni kua vina tumika kuombea mkopo na kwenye Bima ya afya? Kitu ambacho si lazima unaweza kuombea mkopo. Wenye akili tunaelewa. Tulioibiwa 20000 ya Vitambulisho vya ujasiriamali tuna Jambo letu trh 28-10-2020
 

Halafu utakuta wanaccm walilipuka kwa shangwe huo utapeli!
 
Vinatumika kuunda vikundi vya wajasiriamali na wanachukua mikopo kama vikundi. Hivi vinakuwa kama uthibitisho kuwa wana kikundi ni wajasiriamali. Tatizo Chadema ni kupinga pinga tu. Hii haitusaidii

Peleka upuuzi mbali, vikundi vipo miaka na miaka, na utaratibu wa kutambua wanakikundi kigezo siku hicho kitambulisho. Ndiyo maana nakuambia hakuna mwanacdm duwazi. Kiungo cha uzazi cha kike ww muhuni pori.
 
Peleka upuuzi mbali, vikundi vipo miaka na miaka, na utaratibu wa kutambua wanakikundi kigezo siku hicho kitambulisho. Ndiyo maana nakuambia hakuna mwanacdm duwazi. Kiungo cha uzazi cha kike ww muhuni pori.
Nini maana ya kitambulisho cha mjasiriamali? Hivi vimewekwa kuwatambua rasmi. Mimi kusema ukweli usinitukane we bwege.
 
Sasa kuna uhusiano gani hapo na hicho kitambulisho cha kihuni? Au unadhani hiyo taasisi ya FINCA ilianza baada hicho kitambulisho cha wezi? Shubamiit.
Kuwatambua rasmi,ili waweze kufanya shughuli kwa ufanisi.
 
Kwa hiyo ulitaka wajasiriamali Tanzania nzima wapewe bure? Wewe utauwa na akili timamu kweli? Hata Cdm inaweza kufanya hivi?
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!
 
Huyu rais kigeugeu sana. Haaminiki sijui ilikuwaje akawa rais wa wanaccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…