Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali



VITAMBULISHO gani havina PICHA za Wamiliki wake?

Ni wapi Mikopo inatolewa kwa kutumia VITAMBULISHO visivyokuwa na PICHA ya MHUSIKA?

TUWE WAKWELI.
 
Hivyo haya maneno ni kweli kabisa yametamkwa na Rais wetu mpendwa aliye na Phd!? mhhh!
 
We bwege unajua nini? Unajua hata ujasiriamali?

Bima ya afya kwa wakulima huwa haitolewi kwa vikundi? Acha ubwege.
Vikiwa na vitambulisho visivyokuwa na picha wala saini? Ama kweli mabwege wanajithihisha dhahiri shayiri
 

Hivi elfu ishilini inaweza kukuwezesha kukopa malaki au mamilioni ya fedha? CCM msitufanye cc wajinga[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Anawala akili tu
 
Kwa hiyo ulitaka wajasiriamali Tanzania nzima wapewe bure? Wewe utauwa na akili timamu kweli? Hata Cdm inaweza kufanya hivi?
Wewe ndiyo boya kabisa, vitambulisho vile vyakuchukulia mkopo bank, labda bank za chato.
Mtu anadanganya waziwazi alafu unamsupport?

Amakweli ccm ni laana
 
Kamanda mwenya akili hawezi kuwa shoga. Nyie mnaenshabikia Lissu ambae atawalinda ili mfanye ushoga nawapa pole.
chadema hakuna vilaza kama wewe unachafua Nembo ya chama chetu kwa kuandika uharo wako humu JF,ccm mmekuwa wehu hadi mmeamua kutumia nembo za chadema maana kujiita CCM hadi mnaona aibu ,mapunguani nye
 
Eti huyu ni Doctor!!! πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukisikia kuna watu waongo duniani huyu ni kiboko yao kitambulisho hewa kisicho na risiti kikopee Bank shikamoo Magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…