MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Hii Sasa chai. Au hiyo sifuri imejichomeka tu?Kwa siku 9, Mikutano 450
Hata mm sijapenda saana. Japo hakuna namnaJuzi viongozi wa Wanne kutoka Kenya wamenusurika kufa kwa ajali ya Helikopta, huwa haziamimiki sana hizi, zinapakwa rangi tu, anyway mlindwe kwa nguvu za Muumba siku a mwisho hizi
Mapambano yanaendelea himaaaaaaaa!!!!Hii ime tulia. Mataga watakaa..
Sure ila hawatawezaHaka kadude huwa sikaaminiamini ni rahisi wabaya wako kukafanyia uhuni
24hrs mikutano ya kampeni?Yan kila saa moja atafanya mkutano mmoja.
Ngoja tusubiri miujiza
Tena hapo ni 24hrs bila kupumzika.
Ndio kwa mjibu wa takwimu zao kwamba atafanya mikutano 450 kwa siku 9 sawa na mikutano 50 kwa siku itambidi afanye mikutano angalau miwili kila saa 1 kwa masaa 24 kinyume na ratiba na kanuni za kampeni katika uchaguzi.24hrs mikutano ya kampeni?
Tetesi : Pole pole na Bashiru wamekalia kuti kavu kiranja kafura sana.....Timu ya Chadema yenye rasilimali fedha chache ila imeipoteza sana ccm. Aisee Bashiru na Polepole wamemwingiza mgombea wao chake kwani hawana mipango kabisa.
Unateseka sana hili sio karandinga la mkaaWawe makini mtu aki mess up na "Jesus Nut" au kwa bahati mbaya tu ika fail chopa inashuka kama jiwe na Lissu atabatizwa jina lingine.. Mungu mlinde kamanda wa manyumbu🙏🙏
ccm wanaweza kuihujumu kwa moja ya sifa kuu ya ccm kufanya hujumaWawe makini na kila sehemu wanapolaza hiyo chopa
Wachukue mashehe wachunjaji mapadri maasikofu waiombee hiyo chopa maana polepole hachelewi kuwatuma watu waitungue ikiwa anganiHili ni muhimu sana
Uongozi wa Chadema wazingatie hili kuliko wanavyojua
Adui yupo macho 24/7
Nikikumbuka ya Filikunjombe naogopa sana
Mungu Atembee Nanyi
Awalinde Awaongoze Awatetee Awatangulie
Amen sana!
Asante sana Mkuu...Tundu Lissu anazidi kunishawishi kwa sera zake nzuri kumhusu mwananchi na Taifa kwa ujumla. Hakika Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli na watu wenye mapesa inakuja. Kura yangu kwa Lissu na ushindi wake uko wazi. Tukutane 28/10/2020 kwenye vituo vya kupigia kura
Taifa limelipuka kwa SHAMGWEEEEBravo TL na CDM kwa ujumla.
Ushindi tayari!
Andaeni Suti za kuapishwa