Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

Tundu Lissu anazidi kunishawishi kwa sera zake nzuri kumhusu mwananchi na Taifa kwa ujumla. Hakika Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli na watu wenye mapesa inakuja. Kura yangu kwa Lissu na ushindi wake uko wazi. Tukutane 28/10/2020 kwenye vituo vya kupigia kura
 
Juzi viongozi wa Wanne kutoka Kenya wamenusurika kufa kwa ajali ya Helikopta, huwa haziamimiki sana hizi, zinapakwa rangi tu, anyway mlindwe kwa nguvu za Muumba siku a mwisho hizi
Hata mm sijapenda saana. Japo hakuna namna
 
Wawe makini mtu aki mess up na "Jesus Nut" au kwa bahati mbaya tu ika fail chopa inashuka kama jiwe na Lissu atabatizwa jina lingine.. Mungu mlinde kamanda wa manyumbu🙏🙏
 
24hrs mikutano ya kampeni?
Ndio kwa mjibu wa takwimu zao kwamba atafanya mikutano 450 kwa siku 9 sawa na mikutano 50 kwa siku itambidi afanye mikutano angalau miwili kila saa 1 kwa masaa 24 kinyume na ratiba na kanuni za kampeni katika uchaguzi.
 
Hili ni muhimu sana
Uongozi wa Chadema wazingatie hili kuliko wanavyojua
Adui yupo macho 24/7
Nikikumbuka ya Filikunjombe naogopa sana
Mungu Atembee Nanyi
Awalinde Awaongoze Awatetee Awatangulie
Amen sana!
Wachukue mashehe wachunjaji mapadri maasikofu waiombee hiyo chopa maana polepole hachelewi kuwatuma watu waitungue ikiwa angani
 
Tundu Lissu anazidi kunishawishi kwa sera zake nzuri kumhusu mwananchi na Taifa kwa ujumla. Hakika Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli na watu wenye mapesa inakuja. Kura yangu kwa Lissu na ushindi wake uko wazi. Tukutane 28/10/2020 kwenye vituo vya kupigia kura
Asante sana Mkuu...
 
Back
Top Bottom