Watanzania wapiga kura wamejitolea kuzilinda usiku na mchana hadi matokeo halali yatangazwe kila kituo.Hatutaki wezi/wizi wa kura hata moja hapo 28/10/ 2020,tutazilinda dhidi ya vibaka waliojiandaa kufanya hila.Tujiandae kwa figisufigisu kwenye sanduku la kura na katika mchakato mzima wa kumtangaza mshindi.
Ziko 3 mkuu.Kungekuwa na Chopa angalau 2 za aina moja kuruka pamoja ingekuwa Tami zaidi kwa usalama wa rais wetu mtarajiwa.
Mmepaniki? Hiyo ni goal, inweza kufikiwa au isifikiwe....kwa mfano Mgombea wenu Magufuli alitamba kutembea nchi nzima mijini na vijijini lakini ameishia kushinda gereji, bado siyo tatizo hata hivyoYan kila saa moja atafanya mkutano mmoja- miwili
Ngoja tusubiri miujiza
Tena hapo ni 24hrs bila kupumzika.
Ziko 3 mkuu.Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ziko 3 mkuu.
Moja akina Ponda.
Nyingine wapiga picha
Ya tatu mgombea.
From genuine source
Mbona mnawaza sana kuua nyinyi? Kapambaneni na Al Shabaab basi Mtwara kama mna ubavu, pumbavuWawe makini mtu aki mess up na "Jesus Nut" au kwa bahati mbaya tu ika fail chopa inashuka kama jiwe na Lissu atabatizwa jina lingine.. Mungu mlinde kamanda wa manyumbu🙏🙏
The World is watching, yatatokea ya Rwanda 1994, Wajaribu tuaise sijui kwann sijafurahishwa na habari hii pamoja na kwamba kura yangu ni kwa TL.
naona kama maccm yanaweza kumuhujumu kwa namna nyingi na ya hatari kwetu sote tunaomsapoti...ewe Mungu muepushe na mabalaa TL.
Mkuu hii ni code number- nenda Babati watakuelekeza....Mwaka 3010, mtakuwa bado hai? Nawatakia maisha mema.
Wajifya MunyandughuBravo TL na CDM kwa ujumla.
Ushindi tayari!
Andaeni Suti za kuapishwa
Satelaiti IMESHUKA hakuna wa kujificha....The World is watching, yatatokea ya Rwanda 1994, Wajaribu tu
Mmepaniki? RelaxHata Mbowe alitumia Chopa akavuna kura laki sita bila chenji.
Aree wang'Wajifya Munyandughu
Wawe makini na kila sehemu wanapolaza hiyo chopa
Haka kadude huwa sikaaminiamini ni rahisi wabaya wako kukafanyia uhuni
Achaneni mentality za kijima,Mmepaniki? Relax
Orodha ni ndefu sana,saitoti,filiikunjombe etcKweli mkuu, Remember Kobe Bryant, John Garang, General Ojok, nk.
Kwani nani amekwambia inaongeza kura? hiyo ni facility tu Kufikia maeneo mengi katika muda mfupi, kwanini inakuuma?Achaneni mentality za kijima,
Chopa haiongezi kura.