Watanzania wapiga kura wamejitolea kuzilinda usiku na mchana hadi matokeo halali yatangazwe kila kituo.Hatutaki wezi/wizi wa kura hata moja hapo 28/10/ 2020,tutazilinda dhidi ya vibaka waliojiandaa kufanya hila.Tujiandae kwa figisufigisu kwenye sanduku la kura na katika mchakato mzima wa kumtangaza mshindi.
Hilo ndiyo Agano LA wapenda Haki,CCM ikishinda kwa Haki wapewe ila wakishindwa kwa haki wasijaribu kufanya figisu maana ni Hatari.
Twende na Mh.Lissu kwa Urais wa JMT na Maalim Seif kwa Urais wa Zanzibar.