Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

Tujiandae kwa figisufigisu kwenye sanduku la kura na katika mchakato mzima wa kumtangaza mshindi.
Watanzania wapiga kura wamejitolea kuzilinda usiku na mchana hadi matokeo halali yatangazwe kila kituo.Hatutaki wezi/wizi wa kura hata moja hapo 28/10/ 2020,tutazilinda dhidi ya vibaka waliojiandaa kufanya hila.
Hilo ndiyo Agano LA wapenda Haki,CCM ikishinda kwa Haki wapewe ila wakishindwa kwa haki wasijaribu kufanya figisu maana ni Hatari.
Twende na Mh.Lissu kwa Urais wa JMT na Maalim Seif kwa Urais wa Zanzibar.
 
Yan kila saa moja atafanya mkutano mmoja- miwili
Ngoja tusubiri miujiza
Tena hapo ni 24hrs bila kupumzika.
Mmepaniki? Hiyo ni goal, inweza kufikiwa au isifikiwe....kwa mfano Mgombea wenu Magufuli alitamba kutembea nchi nzima mijini na vijijini lakini ameishia kushinda gereji, bado siyo tatizo hata hivyo
 
Ziko 3 mkuu.
Moja akina Ponda.
Nyingine wapiga picha
Ya tatu mgombea.
From genuine source

Itakuwa very brilliant kuzirusha hizi kwenye ukaribu fulani mumiani wasitambue mgombea yuko kwenye ipi.

Mumiani wa Dodoma wangali huru wakipanga mipango mingine. Wenyewe wanaita "aluta continua."
 
Wawe makini mtu aki mess up na "Jesus Nut" au kwa bahati mbaya tu ika fail chopa inashuka kama jiwe na Lissu atabatizwa jina lingine.. Mungu mlinde kamanda wa manyumbu🙏🙏
Mbona mnawaza sana kuua nyinyi? Kapambaneni na Al Shabaab basi Mtwara kama mna ubavu, pumbavu
 
aise sijui kwann sijafurahishwa na habari hii pamoja na kwamba kura yangu ni kwa TL.

naona kama maccm yanaweza kumuhujumu kwa namna nyingi na ya hatari kwetu sote tunaomsapoti...ewe Mungu muepushe na mabalaa TL.
The World is watching, yatatokea ya Rwanda 1994, Wajaribu tu
 
Wawe makini na kila sehemu wanapolaza hiyo chopa

Wawe makini ni wapi wananunua mafuta na nani anayajaza, wacheck mara mbili mbili wasije wakachanganya na maji - vile vile kucheck kila siku nati zinazo funga tail rotor na waya unaopitishwa kuhakikisha nati hizo hazilegezwi ovyo, wakumbuke kwamba - tail rotor ina umuhimu wa pekee katika kuhakikisha usalama wa helicopter - helicopter ni rahisi kuchezewa kuliko fixed wing flying machines (Ndege) kuweni makini.
 
Hatutishiki sisi tutatembea kwa miguu sababu wapiga kura hitaji lao ni maendeleo si vitu
 
Back
Top Bottom