Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani ni dhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Leo Babati Mjini.

Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

Chanzo: BAVICHA TAIFA

View attachment 1604108

View attachment 1604090

Asanteni Babati

Tukutane 3010 kujipongeza...
Yes tuendelee kumuombea Mungu aendelee kumlinda maana hii chopa inapita porini hivyo ni rahisi sana kufanywa chochote na mtu asiyemtakia mema kutoka ndani au nje ya chama. Njia ya gari ilikuwa kiusalama ni nzuri zaidi kwa sababu watu wanashiriki katika ulinzi.
 
Acheni woga lisu atatumia chopa ,atafanya kampeni zake salama bila kudhurika, tazameni vizuri mkononi alichovaa tundu lisu ni kinga tosha kwa uhai wake wazee wa kinyaturu na kinyiramba wameshamuwekea kinga dhidi ya maadui zake.

Twende na lisu 2020.
 
Timu ya Chadema yenye rasilimali fedha chache ila imeipoteza sana ccm. Aisee Bashiru na Polepole wamemwingiza mgombea wao chake kwani hawana mipango kabisa.
Kwakweli Bashiru na polepole Wana wakati mgumu kutokana na aina ya mgombea wao na aina ya mpinzani wao

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.

Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Siku 10 Lissu atafanya mikutano 450 , Jiwe mikutano 6
 
Ni jambo jema itasaidia sana. Ila chondechonde kila ituapo awepo mlinzi na kila inapolala. Nimeogopa sana maana huyu Lissu adui yake yule alitaka kutoa Roho bado haijakaa sawa anayo chuki tele. Ile damu inamsuta na bado ana kinyongo. Kitendo cha kutokufa hakimfurahishi yule mtoa amri ya kumuua. Yamkini aliyeratibu akafeli sijui kama yuko salama au naye alishavunjwa miguu🤣🤣🤣😂😂😂😎😎😎
 
Acheni woga lisu atatumia chopa ,atafanya kampeni zake salama bila kudhurika, tazameni vizuri mkononi alichovaa tundu lisu ni kinga tosha kwa uhai wake wazee wa kinyaturu na kinyiramba wameshamuwekea kinga dhidi ya maadui zake.

Twende na lisu 2020.
Natamani sana iwe hivyo. Mwenzeni nimebadili grear angani. Nimetafakari mno mno nikaona ni sawa kabisa. Mungu amlinde na kila famlia tunaosali tumkumbuke asiguswe hata na jani.
 
Acheni Mzee Apumzike Mtamuua Kwa Pressure!!!
 
Hili ni muhimu sana
Uongozi wa Chadema wazingatie hili kuliko wanavyojua
Adui yupo macho 24/7
Nikikumbuka ya Filikunjombe naogopa sana
Mungu Atembee Nanyi
Awalinde Awaongoze Awatetee Awatangulie
Amen sana!
Ameni!
 
Kweli mkuu, Remember Kobe Bryant, John Garang, General Ojok, nk.

General Oite Ojok chopper iliyombeba walichanganya mafuta na maji, Prof Saitoti wa Kenya sijui chopper yake waliweka madudu gani kwenye Cabin yaliyo fuka moshi mweusi kama steam ship!!

Kwa kifupi usafiri wa chopper ni hatari hasa katika mazingira ambayo ni highly unpredictable - wakiona vipi, basi ziruke Chopper tatu kwa wakati mmoja to be on safe side.
 
Ni jambo jema itasaidia sana. Ila chondechonde kila ituapo awepo mlinzi na kila inapolala. Nimeogopa sana maana huyu Lissu adui yake yule alitaka kutoa Roho bado haijakaa sawa anayo chuki tele. Ile damu inamsuta na bado ana kinyongo. Kitendo cha kutokufa hakimfurahishi yule mtoa amri ya kumuua. Yamkini aliyeratibu akafeli sijui kama yuko salama au naye alishavunjwa miguu🤣🤣🤣😂😂😂😎😎😎
Hata mie nna wasiwasi kama kweli aliachwa salama! Wengine nasikia walisingiziwa ujambazi na kuuawa kama vibaka.
 
Jamaa wapo kimipango sana. Wana organize vizuri. Safari hii wamepata manager mzuri wa kampeni. Wamepita nchi kavu,majini ,na sasa angani. Hili nmelipenda sana. Chadema wasipewe ruhusa ya kumtumia sheikh ponda naamini hili uliloandika ni tetesi tu. Sheikh ponda anaaminiwa sana na waislamu wengi. Ana ushawishi mkubwa sana. Asijiunge na Lissu. Hawa jamaa itakuwa moto mkali sana. Mi namfahamu sheikh ponda.

Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.

Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Helicopter ya mzee mtei hiyo. Hongera Mbowe kwa kutoa mafuta na pocket money. HATUWEZI KABIDHI NCHI KWA WAHUNI.
 
Back
Top Bottom