Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes tuendelee kumuombea Mungu aendelee kumlinda maana hii chopa inapita porini hivyo ni rahisi sana kufanywa chochote na mtu asiyemtakia mema kutoka ndani au nje ya chama. Njia ya gari ilikuwa kiusalama ni nzuri zaidi kwa sababu watu wanashiriki katika ulinzi.Leo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
View attachment 1604108
View attachment 1604090
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Bora angetumia gari tusije poteza jembe kama lilejembe la ludewa roho iliniuma mpaka sasaUsalama wake upoje jamani? Mungu awape mwongozo siku Hizi za mwisho. AMINA
Kwa siku 9, Mikutano 450
Hiyo ni mikutano 50 kwa siku
Sijui hii ni sawa na na sekunde ngapi kwa kila mkutano😁😁😁😁😁
Kwakweli Bashiru na polepole Wana wakati mgumu kutokana na aina ya mgombea wao na aina ya mpinzani waoTimu ya Chadema yenye rasilimali fedha chache ila imeipoteza sana ccm. Aisee Bashiru na Polepole wamemwingiza mgombea wao chake kwani hawana mipango kabisa.
Mikutano 3 au 4 kama wako watatu kwa chopa ni midogo SanaYan kila saa moja atafanya mkutano mmoja- miwili
Ngoja tusubiri miujiza
Tena hapo ni 24hrs bila kupumzika.
Siku 10 Lissu atafanya mikutano 450 , Jiwe mikutano 6Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.
Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Natamani sana iwe hivyo. Mwenzeni nimebadili grear angani. Nimetafakari mno mno nikaona ni sawa kabisa. Mungu amlinde na kila famlia tunaosali tumkumbuke asiguswe hata na jani.Acheni woga lisu atatumia chopa ,atafanya kampeni zake salama bila kudhurika, tazameni vizuri mkononi alichovaa tundu lisu ni kinga tosha kwa uhai wake wazee wa kinyaturu na kinyiramba wameshamuwekea kinga dhidi ya maadui zake.
Twende na lisu 2020.
Kweli awatimue maana wamenifanya nimebadili gear angani. Yaani wametufelisha sana CCM.Tetesi : Pole pole na Bashiru wamekalia kuti kavu kiranja kafura sana.....
Ameni!Hili ni muhimu sana
Uongozi wa Chadema wazingatie hili kuliko wanavyojua
Adui yupo macho 24/7
Nikikumbuka ya Filikunjombe naogopa sana
Mungu Atembee Nanyi
Awalinde Awaongoze Awatetee Awatangulie
Amen sana!
Kweli mkuu, Remember Kobe Bryant, John Garang, General Ojok, nk.
Hata mie nna wasiwasi kama kweli aliachwa salama! Wengine nasikia walisingiziwa ujambazi na kuuawa kama vibaka.Ni jambo jema itasaidia sana. Ila chondechonde kila ituapo awepo mlinzi na kila inapolala. Nimeogopa sana maana huyu Lissu adui yake yule alitaka kutoa Roho bado haijakaa sawa anayo chuki tele. Ile damu inamsuta na bado ana kinyongo. Kitendo cha kutokufa hakimfurahishi yule mtoa amri ya kumuua. Yamkini aliyeratibu akafeli sijui kama yuko salama au naye alishavunjwa miguu🤣🤣🤣😂😂😂😎😎😎
Hatimaye Chadema wamefuata nyayo za CCM na sasa wamekodi chopa itakayotumiwa na Tundu Lisu.
Wajumbe wengine wa timu ya kampeni wataendelea kutumia usafiri wa magari wakiwemo akina shehe Ponda.
Ikumbukwe zimebakia siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Gari la mkaa limetoka gereji?Hata Mbowe alitumia Chopa akavuna kura laki sita bila chenji.
Ni Yeye!