Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Hapo wametafuta ku balance mizani, mmoja kachukua likizo ya siku 8 mwingine kafungiwa kufanya kampeni.

Hata hivyo, aliyefungiwa hakuitwa ili ajieleze kwa maandishi na mbele ya tume kama taratibu zinavyo elekeza.Kwahiyo hata hajui amefungiwa kwa kosa gani hasa ambalo hajaitwa kulisemea !!
 
Wanaendelea kumpiga chura teke, na pia ili CCM ianguke, ni lazima mambo na matendo kama haya yatokee na yaendelee kutokea...
Kamsaidie kujibu au kama unauwezo fanya utakavyo!!?
 
Kwani hukumsikia alikuwa anasema haendi kwa kuwa NEC ni ya CCM?
 
Hii imethibitika baada ya Tume hiyo kuvunja kanuni zake yenyewe kwa kuamua kumuadhibu Lissu bila kumsikiliza wala hata bila kumpelekea taarifa za mashitaka yake ili apate nafasi ya kujitetea mbele ya Tume ya maadili kama kanuni za tume yenyewe zinavyotaka .

Tafsiri tuliyoipata hapa ni kwamba Tume ya Uchaguzi inamuogopa Lissu kutokana na weledi wake mkubwa kwenye mambo ya kisheria , hawana uwezo wa kukabiliana naye kutokana na mashitaka yao kukosa mashiko , sasa wameamua bora liende ili kufurahisha wanaowatumikia

Lakini Je mwisho wa mambo haya utakuwaje ?
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo ndivyo Tanzania inajulikana, sasa hawa pimbi wa leo wanafikiria nchi hii iliota kama uyoga. Hivi kweli mtu na akili zake anafikiria kwa dhati kabisa kwamba yale yanayofanywa na Chadema mafichoni hayajulikani? Ngoma hii bado mbichi sana tutajua mbivu siku si nyingi nilisema usijaribu kutingisha kiberiti wakati unafahamu fika kwamba kimejaa.

Msikilize kwa utulivu na unyenyekevu mkubwa Pole Pole labda unaweza kujifunza kitu lakini wewe kama ni kasuku tu pita maana hayakuhusu. Mambo ya Ngoswe mwachie mwenyewe.


Tutakuwa kwenye kikao chao leo jioni.
 
Hatuna mgombea binafsi. You can't dissociate the nominee with the political party
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...

mshindi mmoja tu, tume ndio inayotangaza mshindi.... tusubili
 
Ndaga mbona wengi wapo ndani!!

Acha tutetea ushoga
mukamateni si munajidai mumetumiliki na kikra zetu huna na aibu kuniambia nimpigie nani wakati l have right to vote ...fisi wewe
 
Mbona wao huwa wanamzushia kuwa anatumika na mabeberu kwenye kampeni zao je wao pia wanaweza kulithibitisha hili .
Hawawezi kulithibitisha kwa sababu hao mabeberu hawapo. Wangekuwepo tungeshaona mimba nyingi hapo Lumumba street.
 
Hatuna mgombea binafsi. You can't dissociate the nominee with the political party
How, tume Ina kanuni zake japo Wenda zaingiliana na za mlezi wa fyama na ni vitu viwili tofauti , mfano tume inayo wajibu wa kumuandikia mgombea kiti Cha urais moja kwa moja ila mlezi wa vyama atamuandikia chama husika moja kwa moja.

Tume inauwezo kumsimamisha mgombea wa chama chochote au kumuengeua ila mlezi wa vyama hana huezo huo ila anauwezo wa kukifuta chama chochote.

Bro mbona umeandika Kama wajua sheria ila hata sie tusio jua haitaji kuwa na shule hiyo ,organ mbili zafanya kazi moja inayofanana ila kikanuni katika utendaji mbona tofauti Sana mkuu ,unakwama wapi?

Kwa Sasa tume haishughuliki na chama inashughulika na mgombea,na Kama ndo hivyo why mgombea na mlalamikiwa hakupelekewa malalamiko yako alipo kua ?mabilion300 na ushee kazi yake ni pamoja na changamoto Kama hizi.
 

ifike mahali sasa huo mdomo ujifunze kuongea mambo yanayo eleweka na atumie mda mwingi kunadi sera badala ya uongo
 
How, tume Ina kanuni zake japo Wenda zaingiliana na za mlezi wa fyama na ni vitu viwili tofauti , mfano tume inayo wajibu wa kumuandikia mgombea kiti Cha urais moja kwa moja ila mlezi wa vyama atamuandikia chama husika moja kwa moja...

Mnaelewa sharia za nchi hii zilivyowekwa? Adrenaline anatupa mihemko tunasahau some basics. TL akiamua kufanya kampeni, inakula kwake. Sheria msumeno
 

Ujinga mzigo
 
toka nineskia anasapot LGBT naelewlzwa hapa na msaidiz wangu nimechukia sana
 
mahera anajitahidi kutetea uteuzi wake pale NEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…