Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Walishikiwa bunduki?
Ilikuwa usiposaini kukubaliana na huo uhuni, automatically chama chako hakitashiriki uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishikiwa bunduki?
Yes indeed campaigns will continue from Sunday, People’s Power ✌🏾Tutashinda
Election will continue on sunday as scheduled.
Sasa hapo kosa la nani?Ilikuwa usiposaini kukubaliana na huo uhuni, automatically chama chako hakitashiriki uchaguzi.
Kosa kubwa sana kiufundi. Kuna watu wanapaswa kuwajibishwa.Barua imepelekwa kwa katibu mkuu wa chama kinachomdhamini Lisu.
Kosa la nec lipo wapi?
Kosa lao ni nini?Kosa kubwa sana kiufundi. Kuna watu wanapaswa kuwajibishwa.
Keep your fingers crossed.🤞🤞🤞Yes indeed campaigns will continue from Sunday, People’s Power ✌🏾
Hivi unadhani usipofika Mahakamani kesi itasimama bila wewe? Unapewa muda ufike usipofika basi Hakimu anasikiliza kwa upande mmoja then anatoa uamuzi. Kati ya hao wajumbe Chadema wapoUnamuhukumu vipi mtu bila kumsikiliza.
Aliyetakiwa kujibu malalamiko ni Lisu. Lisu yupo nchini, na sehemu aliyopo wala si siri, tume walishindwa nini kumpelekea hiyo barua? Mimi naona kama wanafanya haya wakiwa na hofu fulani.Kosa lao ni nini?
Hivi wito wa kutakiwa mahakamani (Summons) wa Bw Athuman anaweza kukabidhiwa mkewe au mtoto wa Athuman?! Jaribu kulitazama hili swala kwa jicho la kisheria.Hivi unadhani usipofika Mahakamani kesi itasimama bila wewe? Unapewa muda ufike usipofika basi Hakimu anasikiliza kwa upande mmoja then anatoa uamuzi. Kati ya hao wajumbe Chadema wapo
Hapana bhana! Sayansi inasema miayo ni ni uchovu.cheap politics..tendo la kupiga miayo ni la kiafya..mwenzetu wewe labda bundi haupigi miayo
Sasa hapo kosa la nani?
Hapana bhana! Sayansi inasema miayo ni ni uchovu.
Ni haki yake! Tunabashiri sababu ya kuchoka na kuachia mdomo kiasi hicho mbele za watu. Ni sawa na kukojoa, ni hako yako lakini ukikojoa kweupee, tutajiuliza; akili, au ugonjwa?Na ni aibu kwa Lisu kuchoka kama binadamu?
Wewe unamlaumu tu dikteta!Ukiwa upande wa dictator huwezi kuona kosa lolote, lakini ukitoka nje ya box ndio utajua maana.
Unauliza au kuna nini? Umeshindwa kutofautisha kamati na tume?Hiyo kamati ya maadili inaundwa na viongozi wa dini?
Hiyo kamati ya maadili inaitishwa na nani?
Kihemia alipotangaza Tundu Lissu aende kamati ya maadili alikuwa akiongea kama kiongozi wa TFF?
Namimi nasema "pumbavu"
Ndio maana tunawambia huyo mtu wenu ni debe tupu! Ona sasa kawalisha matango pori alifikiri yeye tu ndio anajua sheria.Aliyetakiwa kujibu malalamiko ni Lisu. Lisu yupo nchini, na sehemu aliyopo wala si siri, tume walishindwa nini kumpelekea hiyo barua? Mimi naona kama wanafanya haya wakiwa na hofu fulani.
Wewe unamlaumu tu dikteta!
Kwanini hao viongozi wako wenye akili walikubali kusain hizo sheria zinazowanyonga?
Kwanini wasikatae kushinikiza zibadirishwe? Huoni kama viongozi wako ndio malofa kukubali kuburuzwa?