Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Hivi? Akiendelea na kampeni kama kawaida nn kitatokea...kwa mfano tu!!
 
Unamuhukumu vipi mtu bila kumsikiliza.
Hivi unadhani usipofika Mahakamani kesi itasimama bila wewe? Unapewa muda ufike usipofika basi Hakimu anasikiliza kwa upande mmoja then anatoa uamuzi. Kati ya hao wajumbe Chadema wapo
 
Kosa lao ni nini?
Aliyetakiwa kujibu malalamiko ni Lisu. Lisu yupo nchini, na sehemu aliyopo wala si siri, tume walishindwa nini kumpelekea hiyo barua? Mimi naona kama wanafanya haya wakiwa na hofu fulani.
 
Hivi unadhani usipofika Mahakamani kesi itasimama bila wewe? Unapewa muda ufike usipofika basi Hakimu anasikiliza kwa upande mmoja then anatoa uamuzi. Kati ya hao wajumbe Chadema wapo
Hivi wito wa kutakiwa mahakamani (Summons) wa Bw Athuman anaweza kukabidhiwa mkewe au mtoto wa Athuman?! Jaribu kulitazama hili swala kwa jicho la kisheria.

Polisi aliyetuma barua ya Lisu kwa Mwenyekiti wa chama na hawa wahuni wa tume wanatakiwa kuwajibishwa. Huu ni ushahidi kwamba kuna mijitu tunailipa mishahara wakati haijui hata wajibu wao.
 
Na ni aibu kwa Lisu kuchoka kama binadamu?
Ni haki yake! Tunabashiri sababu ya kuchoka na kuachia mdomo kiasi hicho mbele za watu. Ni sawa na kukojoa, ni hako yako lakini ukikojoa kweupee, tutajiuliza; akili, au ugonjwa?
 
Ukiwa upande wa dictator huwezi kuona kosa lolote, lakini ukitoka nje ya box ndio utajua maana.
Wewe unamlaumu tu dikteta!

Kwanini hao viongozi wako wenye akili walikubali kusain hizo sheria zinazowanyonga?

Kwanini wasikatae kushinikiza zibadirishwe? Huoni kama viongozi wako ndio malofa kukubali kuburuzwa?
 
Hiyo kamati ya maadili inaundwa na viongozi wa dini?
Hiyo kamati ya maadili inaitishwa na nani?
Kihemia alipotangaza Tundu Lissu aende kamati ya maadili alikuwa akiongea kama kiongozi wa TFF?
Namimi nasema "pumbavu"
Unauliza au kuna nini? Umeshindwa kutofautisha kamati na tume?
 
Aliyetakiwa kujibu malalamiko ni Lisu. Lisu yupo nchini, na sehemu aliyopo wala si siri, tume walishindwa nini kumpelekea hiyo barua? Mimi naona kama wanafanya haya wakiwa na hofu fulani.
Ndio maana tunawambia huyo mtu wenu ni debe tupu! Ona sasa kawalisha matango pori alifikiri yeye tu ndio anajua sheria.

Barua ikipelekwa kwa katibu wako wa chama kinachokudhamini ni sahihi kabisa. Urais anaogombea Lisu siyo wa familia yake ni wa tz ndio maana kapitia chadema ndio kimemuweka pale na nec ikaridhia.
 
Wewe unamlaumu tu dikteta!

Kwanini hao viongozi wako wenye akili walikubali kusain hizo sheria zinazowanyonga?

Kwanini wasikatae kushinikiza zibadirishwe? Huoni kama viongozi wako ndio malofa kukubali kuburuzwa?

Walijitoa uchaguzi wa SM za mitaa baada ya uhuni, je matokeo yamebadilishwa?
 
Back
Top Bottom