Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Ulishawahi sikia kesi nyingi za Kontena za mitumba alafu ndani kuna Range Rover?
Sasa hiyo kazi zao bandarini msikimbizane mitaani nilitegemea kama wamekamata hivyo basi wawashike wale walio ruhusu mzigo kutoka
 
Hakuna mantiki yoyote ya kupiga Kodi dukani tena unapiga Kodi stoo kwenye bidhaa zile zile. Huo ni wizi siyo kodi

Ingekuwa awamu ya 5 waandaaji wa mgomo wangetekwa jana kabla ya mgomo kuanza leo..
Aya ya pili umeandika kwa chuki au umeweka kama nadharia mkuu..maana hiyo awamu ilikua na dhamana kama awamu hii na hicho ulichoandika utakiprove vipi kwa wakati huu mkuu
 
Tumchague nani sasa kama upinzani wenyewe hawaeleki kama 9 ukiigeuza inakuwa 6 ukiigeuza tena inakuwa 9?.
ACHA WAITAMBUE SAWASAWA.

KWENYE CHAGUZI SINDO WAO HUWA WANAVAA KIJANI NA KUJINADI KUIPENDA SISIEM.


KAMA WANA MAPENZI YA DHATI NA HII NCHI WASIWACHAGUE SISIEM NDO TUTAJUA HAWATANIIII
 
Sina uhakika kama unanunua mafuta kujaza gari yako, weka risiti hapa yenye kodi ya VAT kituo chochote cha mafuta kwanini? sababu wameshakata meli ikifika na mzigo tu hautoki mpaka umelipiwa kodi zote
 
Mafuta hayana VAT
 
Sasa hiyo kazi zao bandarini msikimbizane mitaani nilitegemea kama wamekamata hivyo basi wawashike wale walio ruhusu mzigo kutoka
Ina maana mtu akitoloka gerezani hatakiwi ku tafutwa mitaani?
 
Ndio maana wamegoma ili wakasikilizane na Serikali.
Hayo yote utayapata vizuri baada ya wao kusikilizwa.
 
Ina maana mtu akitoloka gerezani hatakiwi ku tafutwa mitaani?
Kwanza andika akitoroka anyway sijui kama nilitakiwa ni kujibu lakini nitakujibu. Ukiona mfungwa katoroka basi ujue gereza lako haliko sawa nenda kazibe kufukuza mfungwa sio suluhisho ni matokeo ua uzembe weka nyumba yako sawa hakuna wa kutoroka. Kama unataka kusema container linatoroshwa bandarini basi nchi iko katika hatari kubwa sana.
 
Hivi hata kiswahili tunashindwa kuandika? Inakuwaje bango la kubandikwa kwenye kadamnasi kama Kariakoo mtu anaandika tumechoshwa na utitili wa kodi badala ya utitiri wa kodi? inamaana hawakuhakiki kabla ya kubandika?
Mkuu tujadili hoja za msingi za wafanyabiashara......

Pia Kaa ukijua utajiri na usomi ni maji na mafuta.....

Kiswahili chenyewe hata wewe mwenyewe unajisadifu kukijua hukijui......🤓🤓🤓🤓

Tujadili hoja sio makosa ya uandishi kwani wewe umekua MZEE KIFIMBO CHEZA🤣🤣🤣🤣😂😂😂

Hoja zijibiwe Kwa hoja,


Wasalaam
 
Hakuna mantiki yoyote ya kupiga Kodi dukani tena unapiga Kodi stoo kwenye bidhaa zile zile. Huo ni wizi siyo kodi

Ingekuwa awamu ya 5 waandaaji wa mgomo wangetekwa jana kabla ya mgomo kuanza leo..
Kwa jpm kodi hazikuwa kandamizi hivyo ndio maana biqshara zilienda vizur labda za magendo ndo zilikwama na wale ndo wapiga kelele sana
 
TRA naweza kusema wamevurugwa...
Uncle wangu ana hard ware hapo Morogoro, kila siku hawaishi kumuandama mara waje wapekue store sijui kama kuna vime expire.
Juzi kazi hapa aliuza nguruwe na mbuzi wake huko Mikese yule mteja pesa alimuwekea kwenye account yake, wakamdaka ikawa kila siku kesi TRA akawaletea mpaka ushahidi wa nyaraka wakati wanakabidhiana hawo nguruwe ndy kumuachia..

Ijumaa iliyopita umeme umeisha kila wakinunua wa Tshs 30000 unakataa, unataka 120,000 kwenda kuwauliza TANESCO wapo wewe case yako nenda TRA, Kufika wanasema ooh wewe kwakua nyumba yako ni ya ghorofa moja kwaiyo kodi ni tofauti, akahoji sasa mbona kila siku nanunua na hamjawahi kuniambia kwamba kuna hiyo 120K majibu hamna....

SHIDA SANA HAO TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…