Thomas10
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 856
- 2,315
Kuna vitu vya kijinga sana[emoji28]
Nilipe kodi ya store;
Najiuliza bidhaa zangu walitaka niziweke wap??
Nilipe Jiji;
Najiuliza kwa huduma ipi ambayo taipata isiyokuwa inatokana na kodi zingine nazolipa?
Nilipe 10% ya miamala;
Najiuliza zile tozo na kodi za miamala ni za serikali ipi kama sio hii hii?
Gari lilipiwe;
Unajiuliza wanataka nibebe kontena kichwani kupalaka mzigo store?