Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Serikali ina malengo mengi, mikopo inagota makusanyo hayatoshi, hivyo wanatafuta mbinu nyingine ya kukamata zaidi.
Na ikumbukwe KKOO inachangia mapato mengi ya serikali
Inachangia kivipi mkuu?? Nataka elim hapa