mfumo upo on bado
๐Basi tatizo lipo kwako hujamuelewa..!!
Yeye anaongelea kuhusu mabasi sio hizo coaster ulizosema akapande..!!
Kinachotakiwa Sasa ni Kila kundi kweye jamii wagome, kuanzia walimu,manesi , Hadi bajaji kushinikiza uongozi mbovu wa nchi maana Raia huku chini wanateseka sana.
Hawana huruma na wananchi
na kulingana na wakala wa tiketi huo mfumo hauna refund... ni either usafiri siku ingineMfumo kuwepo online haina maana msafiri ukate tiketi huku ukijua mabasi hayatoi huduma...
By the way wenye mfumo sidhani kama ni wenye mabasi (wanaojua watasahihisha), kuna kampuni ambayo inahodhi hiyo mifumo ya tiketi na imekuwa customized kulingana na kampuni ya bus...
mi binafsi nimemsikiliza janaShida sio kusikilizwa shida ni utatuzi umefanyika?
Shida hatuna viongozi watatuzi wa haraka ni mpaka wakae watafakari wanaoumia ni watanzania wanaotia hudumami binafsi nimemsikiliza jana
kaanza na hilo la point kasema kuanzia sasa lisimame
na mengine anaenda kushuhulikia
sasa hapo inatakiwa iweje
Ndio. Sio Dar lakinijana ulikua standi?? duh pole
hapana mimi biashara yangu inategemea mabus kwa delivery za mikoani
japo pia na cargo tunatumia
Asante, mnakwama wengi lakini kila mtu anakuwa na shida yake anakoenda kwa hiyo demage hazifananiPole, wansemaga janga la wengi halina ubaya
leo mikoan si yalitoka lakin?Ndio. Sio Dar lakini
Njia nyingine ya kukuza mapato kwenye usafiri wa angaAsante, mnakwama wengi lakini kila mtu anakuwa na shida yake anakoenda kwa hiyo demage hazifanani
ila jana walau yule waziri kaonesha niaShida hatuna viongozi watatuzi wa haraka ni mpaka wakae watafakari wanaoumia ni watanzania wanaotia huduma
duh ila wewe๐๐๐๐๐๐Njia nyingine ya kukuza mapato kwenye usafiri wa anga
Masai masai dada yangu wewe sio mgeni na viongozi wetu jambo la siku moja litachukua week kulitatuaila jana walau yule waziri kaonesha nia
๐๐๐tumeambiwa hiyo secta haifanyi vizuri kwenye ripot ya CAG so naona ni means ya kukuza mapatoduh ila wewe๐๐๐๐๐๐
Madereva hawakati nauli weweNa wao warudishe nauli za watu waache usenge,wanaendelea na mgomo lakini abilia wakiomba kurudishiwa nauli zao hawataki kirudisha ngoja waje wayachome moto hayo magari yenu akili ziwakae sawa yaani watz na utapeli ni damu damu.
Hii argument yako sio sahihi. Kutengeneza mazingira ya kukata tiketi huku gari umefungia yard ni ushawishi wa kitapeli au kuvuruga ratiba za watu. Mtu anaye taka kusafiri anaona tiketi zipo maana ya moja kwa moja inayokuja kichwani ni kuwa atasafiri. Tena kwa muda mliokubaliana wakati anapewa tiketi yakeWenye mabus kwani wanalazimisha mtu kununia tiketi?
Wewe muha?Hilo nilikujibu kuotkana na swali ulilouliza kuwa kwnini mtu aende stendi huku akijua madereva wa mabus wamegoma ndipo nikakuambia watu wanasafiri na mbadala zipo means ndiyo maana watu wanaenda kuangalia
Bora katambi alikuja kistaarabu, ulimuona yule fala mkuu wa wilaya alipataga skendo ya ngonoNgoma bado mbichi, akina Katambi si wanaleta ubabe