Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

Sijaelewa kabisa nieleweshe tena elezea kwa mifano😆😆😆 bandugu
 

Ili wewe usafiri?

Nao wanahaki zao wanazidai. Waambie warudishe hela yako. Utafute utaratibu mwingine. Gari ziko nyingi
 
Ngoja wagome gome kidogo angalu siku 4 Serikali nayo iache kudharau kazi za watu
 
Hayaa mambo y
Si Katambi kadai wamesitisha kukata pointi.
Malalamiko ni mengi yako chini kwa chini kuanzia kitambo. Likiisha hilo la point,bado yapo mengine. Kuna la kila baada ya hatua 20 traffic. Utafika saa ngapi? Kituo cha ukaguzi mfano ukitoka mbeya mpaka dar angalau vikiwa vingi vitatu.

Pia kuna la daladala za mbagala,gongo la mboto,kilwa road zote kuacha huduma maeneo hayo kisa mwekezaji wa mwendokasi. Kibaya zaidi hawajafanya tathimini mabus waliyonayo ya mwendokasi yatatosha. Wanakuambia mbagala yapo 50 wakati daladala 2000 zilikuwa bado hazitoshi can u imagine?
Wazo langu kwenye hili la daladala kwa sasa wangefanya yote yafanye kazi mwendokasi na daladala. Then kadiri ufanisi wa mwendokasi unavyoendelea maeneo hayo wangekuwa wanapunguza daladala kidogo kidogo.

Kuna mambo mengi. Kwa hiyo huu ndio muda wa utatuzi wa yote.
 
Mama yetu na Rais wetu kipenzi cha watanganyika na maGenZ wote tunaomba wananchi wako zile basi za mwendo Kasi kuanzia Leo zibadilishe ruti zianze safari za kupeleka abiria mikoani.

Leo ni siku ya pili nimekwama hapa Magufuli terminal na Sina hata Hela ya maji tunakuomba mama Samia tusaidie hata Ile ndege ATCL iliyowachukua watu wenye mapengo kuwatoa kutoka sauzi afrika na sisi itubebe itusambaze mikoani huko.
Cc Tlaatlaah
Cc Lucas Mwashambwa naombeni mnichangie Hela ya kula hapa stendi magufuli
 
Hata kama mgomo huu unatuumiza wanyonge, nawaunga mkono hao wagomaji hadi kieleweke. Chama Cha Machawa (CCM) na serikali yake ya kigaidi hawana huruma kwa madereva. Kwanini wawakate pointi kihuni? Na huu mkato wa pointi umeanzishwa na mapolisi ambao hawakwenda shule. Kummamma zao!
 
Na wao warudishe nauli za watu, wanaendelea na mgomo lakini abilia wakiomba kurudishiwa nauli zao hawataki kirudisha ngoja waje wayachome moto hayo magari yenu akili ziwakae sawa yaani watz na utapeli ni damu damu.

Wewe ushaambiwa kuna mgomo unakata ticket ya nini
 
Wewe ushaambiwa kuna mgomo unakata ticket ya nini
Kuna wasafiri wamekata tiketi tangu siku za nyuma wakitegemea kusafiri siku ya Jana ambayo ndo mgomo ulianza Sasa wamefanya mgomo abilia wanaomba warudishiwe nauli zao waangalie mipango mwingine hawataki kurudisha.
Ndo Yale Yale ya watu kulipia kiingilio cha mechi mechi ikiahirishwa basi hawarudishiwi pesa zao yaani bongo suala la kuheshimu jasho la wa huwa ni gumu sana
 
serikali huijui ww madai yachakatwe vipi? wana madai mengi ila hili la point ndio zito lililoeaibua jana wakati katabi anaongea mapoti wa magu walitoa plate number magari mengi pale mbez wakadai kuwa namba zirudishwe ndio waondoke na walofungua wazifunge wenyewe..
 
Ili mbegu iote lazima ife kwanza,.
Hili taifa Kwa hali ilivo bila kufanya jambo kubwa kama migomo Kila Kona hatuwezi fika tunapotakiwa kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…