Uncle kashindwa kutafuta muhasibu akampa 2m akomae na TRA yeye aendelee na mambo yake ?mimi kwenye biashara yangu wananijua ni sheria kwa sheria ,utaalamu kwa utalaamu hawalambi hata 100 kila kitu kimenyooka.Sisi ndio wale wachache tuna enjoy VAT returns wengine kwa kutokujua na ubahili wanajua ni siasa za TRA ,ukiwa na mtaji wa 200m + usicheke na TRA na mahesabu , tafuta dogo mwenye CPA anayejua alichoisomea akakomae na TRA.TRA walimtia uchizi uncle wangu na biashara ya 300m wakamdai kodi ya 700m. Mpaka leo anakesha bar tu. Pumbavu sana
Akili za kitumwa!!! Nchi hii Siyo ya watawala peke yao ni ya watanzania Milioni 65+Mbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.
Huwa ni hand to mouth.
usilitizame hili kwa urefu wa pua yakoKufunga duka kunachafua nini?
Mwambie huyo aache ujinga.Unadhani kupata mtaji wa kufungua biashara Kariakoo ni rahisi?, watu wametoa kafara mama zao halafu unaleta uporaji wa mitaji ya watu kirahisi?
Serekali inakosa mapatoMbona hili ni swala dogo sana. Waache wagome watarudi wenyewe tena kwa kuomba msamaha. Siku tatu watarudi wenyewe maana watanzania hatunaga mazoea ya kuweka stock ya chakula ndani cha wiki nzima.
Huwa ni hand to mouth.
Neno la serikali ndio sheria.Mbaga
Kuvunja kufuli ni maneno yako na sio ya katiba. Hakuna mahala panasema kuvunja kufuli la serikali ni kosa la jinai.
Hivyo kauli yako inakosa nguvu na utetezi.
Kufunga biashara ya mtu pasipo uwepo wa mwenye mali ni kosa.
Kaka punguza hasira za salary!... July Kuna uwezekano tukalipwa Kwa makundiYamefungwa maduka ..... Nimemjibu aliyesema " wamachinga wamefungua maduka" ...acha ujuaji ...soma comment ya niliyemjibu..... Na wewe nakuuliza mmachinga ana fungua duka!??
Wengine kulipwa hadi tarehe 50Kaka punguza hasira za salary!... July Kuna uwezekano tukalipwa Kwa makundi
Hakuna cha uzalendo hapo,wao wanatetea maslahi yao tu.Hakuna anayekataa kulipa kodi ila watu wanachokataa ni kodi kandamizi pekee.
Bidhaa unainunua 200 kodi 500, unadhani anayeumia ni mfanyabiashara pekee?.
Hapo mlaji ndo anaumia zaidi, hivyo hao jamaa ni wazalendo
😂😂😂😂 Hapana Mkuu..... Niliotaka tu na Mimi nije kufanya utalii wa ndani nije kujionea mmachinga mwenye DUKA Mkuu....Kaka punguza hasira za salary!... July Kuna uwezekano tukalipwa Kwa makundi
Unajua kwa siku TRA wanaingiza kiasi gani kwa biashara ya Kariakoo pekee.Ukifunga duka lako, ukaweka mgomo kuuza bidhaa zako ni nani anapata hasara?
Ni serikali au ni wewe mwenye duka?
Tanzania ni kubwa sana na maduka ni mengi sana, Kariakoo ni sehemu ndogo sana ya Tanzania.
Sisemi wafanyabiashara wasitoe malalamiko yao, lakini kuna namna bora ya kuwasilisha malalamiko na siyo kufunga duka.
huna loloteusilitizame hili kwa urefu wa pua yako
kama unatumia kimiminika kichwani huwezi nielewa
Mfano kontena la bidhaa x, kodiHakuna cha uzalendo hapo,wao wanatetea maslahi yao tu.
kwani unafikiri wanatetea maslahi yako?Hakuna cha uzalendo hapo,wao wanatetea maslahi yao tu.
Neno la serikali lisilovunja katiba yake ni sheria, na si maneno ya mtu binafsi kama kuvunja kufuli la serikali ni kosa la jinai. haya ni maneno ya mtu na si serikali.Neno la serikali ndio sheria.
Hakuna sehemu nimelalamika,acha kudandia hoja usizozielewa.kwani unafikiri wanatetea maslahi yako?
Ili waweze kukuuzia wewe mlala hoi bidhaa kwa bei utakayomudu inabidi kodi uchwara zifutwe.
Bidhaa inanunuliwa 500 kodi 800 bado aweke gharama za usafiri bado na aweke faida yake akikuuzia wewe mlalahoi 2000 unalalamika unasema wanatetea maslahi yao.
Hakuna kitu kama hicho.Mfano kontena la bidhaa x, kodi
Uganda 33m
Zanzibar 35m
Zambia 22m
Kenya 31m
Tanganyika 385m
Unaona hapo ni sawa?
Haiwezi kuwa vizazi na vizazi meza itapinduka tu sikumoja magereza yatakuwa nyumba zaoNchi imekuwa Chachuu.
Kodi zetu zinanufaisha baadhi ya familia vizazi na vizazi vyao.
Kama hulalamiki basi unalia, then acha kuliaHakuna sehemu nimelalamika,acha kudandia hoja usizozielewa.
Mimi nanunua kitu kwa bei yoyote ili mradi nimeridhika na thamani halisi na kama ninaweza kumudu gharama husika ninachosema wafanyabiashara waache janjajanja ya kukwepa kodi huku wao wakiweka kodi hiyo kwenye bei ya bidhaa wanayomuuzia mteja.
Umenikumbusha kuhusu wafanya biashara wa tunduma walipo hamia ZambiaMfano kontena la bidhaa x, kodi
Uganda 33m
Zanzibar 35m
Zambia 22m
Kenya 31m
Tanganyika 385m
Unaona hapo ni sawa?