Ukiona hivyo ujue maisha ni mazuri na watu wameridhika..Migomo ya Tanzania ni fake haina uhalisia
Kwasababu mnagoma anakuja waziri anapiga bla bla anaondoka na viongozi wa soko wanapewa baasha
Matatizo yanabaki yale
WATANYOOKA TU
Yamefungwa maduka ..... Nimemjibu aliyesema " wamachinga wamefungua maduka" ...acha ujuaji ...soma comment ya niliyemjibu..... Na wewe nakuuliza mmachinga ana fungua duka!??Kwani uzi unasemaje Mkuu?
Kariakoo kuna biashara nyingi ila umachinga ni sehemu ya biashara.
Yamefungwa maduka ..... Nimemjibu aliyesema " wamachinga wamefungua maduka" ...acha ujuaji ...soma comment ya niliyemjibu..... Na wewe nakuuliza mmachinga ana fungua duka!??
Ni saa tano sasa hivi mkuu, tupe updates.Nasubiri Mida ya saa nne. Ndio tutapata majibu.
Jana nilikuwa huko Kariakoo.
Kuna mgawanyiko baina ya Wafanyabishara.
Wapo watakaofungua na wapo watakaofungua.
Nilisikia Machinga wakisema wao sio wafanyabiashara. Wao wana umoja wao hivyo wao watafungua.
Wamachinga ni wale wenye vimeza wanaokaa na kuziba njia
Wafanyabiashara waepuke kutumika na upinzani kisiasa
Haitowasaidia bali kuwadidimiza kibiashara
Hoja za msingi saaan Kwa wenye Akili timamu bali Si Kwa chawa
a broSongwe pia hawajafungua!
Wew bwege hujawahi kuuza hata miwa kaaaa utulie usaidiwe na wenye utimamu Maan Akili yako Ni tegemeziUkifunga duka lako, ukaweka mgomo kuuza bidhaa zako ni nani anapata hasara?
Ni serikali au ni wewe mwenye duka?
Tanzania ni kubwa sana na maduka ni mengi sana, Kariakoo ni sehemu ndogo sana ya Tanzania.
Sisemi wafanyabiashara wasitoe malalamiko yao, lakini kuna namna bora ya kuwasilisha malalamiko na siyo kufunga duka.
Unakuwa na kichwa kigumu mbona brother!?? Wakati najua muelewa kabisa Mimi sijajibu Kichwa Cha Uzi bali nimejibu comment ya mtu ..unafeli wapi dingii.??!.... Niliyemquote amesema wafanyabiashara wamefunga maduka lakini MACHINGA WAMEFUNGUA MADUKA hajasema MACHINGA WAMEFUNGUA BIASHARA ...amesema MACHINGA WAMEFUNGUA MADUKA ndio mzizi wa swali langu MACHINGA ANAFUNGUA DUKA KUANZIA LINI !?? DUKA GANI HILO LA MACHINGA !?? ..... Usiniwekee maneno mdomoni ambayo sijasema.... Sijaongelea kufungua BIASHARA ...naongelea MACHINGA KUFUNGUA DUKA ...MACHINGA YUPI HUYO ANAYEFUNGUA DUKA...NA WAPI HAPO KARIAKOOO MACHINGA MWENYE DUKA NIJE KUSHANGAA...... ambaye analipia TRA,service levy etc....Hapo ulipomjibu ndio imenukuu comment yangu ndio maana nikakuuliza.
Kwa hiyo uelewa wako biashara ni kufungua Duka?