Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
lakini pia sioni ubaya ni sehemu ya kuongeza maarifa na kupata suport kwa kile ulichogundua.ndivyo wanavyofanya hapo TMJ tunapoamrishwa tufuate vipimo,
Tena ukiwa mbishi wanakuchukua mpaka kwenye Computer yao, wanagoogle mbele yako ili kukuthibitishia usasahihi wa majibu yao!
Ndo shida ya wabongo wamepumbazwa sana na mambo ya dini wanaamini eti kuna Mungu anayetoa haki. Msidanganywe wabongo haki inatolewa mahakamani tu. Mungu ni hekaya za Abunuwasi tu.Ndio kilichobaki, tukianza kushitakiana kidoogo umakini utakuwepo, hatukatai kukosea ndio uwanadamu lakini ni too much.
Wale kenge wa dar group sijui, walifanya uzembe kiasi dada yangu akatolewa kizazi kabisa, ndugu zangu nawaambIa tuwashughulikie, wanasema mradi katoka salama, tuache tu., mtu kakosa mtoto na kizazi wametoa😠
Tuna mwagilia nao moyo hapo kidibwi SanaDuuuh!
Akitoka kazini anaweka kikao baa, badala ya kushika kitabu akaongeza maarifa.
Mtu ana D za form 4 anaanza safari ya udaktariMa docta wa Tz hawana tafauti na wapiga ramli hata wale wanaojiita wabobezi ni hovyo tu na hawaaminiki !
Yaani ni shida.Au anaambiwa huna malaria anasema bwana hii malaria tu malaria yangu mi naijua mimi[emoji16]
Hapa mkuu mi sijaelewa hitimisho la huyu bwana. Sababu nimesoma maelezo yake yote hajaandika kua anaumwa goita sasa mwisho kahitimisha alikua anaumwa goita na upusuaji alijua anafanyiwa goita.
Wajuzi mnisaidie pengine mm ndio cjaelewa
Muda utaamua.Reasoning yako ni nzuri, nimeona pia Mshana jr kayaweka haya maelezo.
Si rahisi kuujua ukweli halisi wa kesi hii, mpaka umsikilize daktari aliyempokea mgonjwa na nini kilikuwa kinamsumbua mpaka kufika pale. Maana pia kuna vipimo zaidi vitakuwalikely vimefanyika kama: Ultrasound na Hormones.
Kitu ambacho kinaonekana kuwa wazi ni utofauti wa majibu ya kipimo kimoja kuhusu uwepo wa kansa au kutokuwepo. Na hii inatoka upande wa laboratory/pathology.
Nategemea haya yote yatakuwa wazi kesi itakapoendelea kusikilizwa. Ni jambo jema kuifatilia kwa makini ili kujua undani wake.
Duh!Kuna kesi ya mdada close friend pale Bosch hospital, mimba ilipimwa kwa ultrasound na kubaini kuwa the baby weighed more than 5kg, too much that she was advised to undergo CS. Alikubali coz overweight ingeweza kusababisha uhai wa mama na mtoto kuwa at risk. Mtoto anakuja kuzaliwa yupo 2.8kg.
Aisee timbwili lake sio poa, waliomba msamaha sana, watu walitaka waende mahakamani coz haiwezekani a mistake like that, ingekuwa margin ya 0.5kg hapo sawa, lakini mtu mmepima na kuona uzito wa mtoto ni zaidi ya 5kg leo anazaliwa yupo 2.8kg na kumpasua tumbo lake...
Sasa kama ametoka familia ya shida au amesoma kwa shida ndio asiwajibike kwa makosa ya uzembe wake?Ni sawa, lakini kwa umasikini, ufukara, utahira wa linchi kapuku kama Tanzania sio sawa kuwashitaki.
Kaka kuna madaktari wengi sana nawafahamu wamesoma kwa shida mno wametoka familia za tabu sanaa hadi leo wako hapo ni neema tu siamini sana kama ni uzembe tusiwashitaki
Vyuo vyenu vya kata hvo mara unasikia IMTU, mara sijui KAIRUKI mara moshi college of health nao wanatoa MD..Ma doctor wa Afrika sijui huwa wanasoma wp!? Au wanasoma vitabu tofauti na wenzao !!!
Ipo namna hapo kwakweli!!!!
Nchi hii shida sana,huna Kansa,unaambiwa una Kansa!unapewa tiba ya mionzi,Ili kuua nini sasa,Bora huyu alishituka,na anapesa,je wangapi wameishapoteza maisha kwa huduma za kijinga hvBongo kugumu sana huwa nikienda muhimbili kuona wagonjwa yaani ni hovyo hovyo tuu. Mtu unaomba maisha yako ya ugonjwa usifike pale
Vyuo vimeruhusiwa na vimefuata vigezo. Alaumiwe aliyeenda kusoma na kuhitimu akaja kufanya yasiyo.Vyuo vyenu vya kata hvo mara unasikia IMTU, mara sijui KAIRUKI mara moshi college of health nao wanatoa MD..
Mtu una div3 unaenda kusoma MD..? Tegemea mambo kama haya
wanatusimanga walimu kwamba sisi ndo tukifeli shule huwa nashangaa sana