Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Muovu hata umipe milioni 1 kwa mwezi atakuua tu, si unaona kachukua kadi hivo hizo ndio zimempa tamaaMwanadamu kwa kawaida cha kwanza ni ulinzi lakini wengi walio na pesa wanaamini pesa ndiyo kila kitu, nataka nitowe wazo langu, katikafamilia wakwanza kupewa heshima msaidizi nyumbani anapika, anachota maji anakutengea chakula nakasumu hapo kumbuka mshahara mdogo.
Tena mama mzazi ambaye muda wote mnaongeaSi umesikia walikuwa na miadi nae tangu hiyo jumatatu, ikabidi waende kumtafuta tena jumanne, yaani wewe uwe na miadi na mtu wako wa karibu siku nzima asipatikane usiingiwe na wasiwasi yupo wapi?
Tena inakadiriwa mfanyakazi alikuwa na miaka 14 au 15 bado mtoto kabisa hii inafikirishaHuyo mfanya kazi ana nguvu kiasi gani hadi afaniniwe kuuwa peke yake,duu bado nitakuwa mgumu kidogo kuamini.
Sitoshangaa serikali nayo kuchukua baadhi ya viungo kwa uchunguzi zaidi.
Na huyo dogo inawezekana amepotezwa pia..mtoto wa marehemu na mume wake wachunguzwehuenda mama alikuwa na mtoto pekee wa kike huyo aliyeolewa hivyo urithi ungehamia kwa mwanae polisi ichunguze vizuri tukio hili haiwezekani mtu na mumewe kufanya mambo official ya kutafuta polisi kufungua geti as if kuna kitu walihisi hii huenda ni organized crime
Kwani si ni ndugu hao hao huwa tunasikia wanawabaka ndugu zao?, au Mke anamuua Mme, Mtoto anamuua Mzazi n.k.Mambo ya kujifanya unaishi kizungu, hutaki kukaa na ndugu, unakaa na houseboy/house girl majitu hujui yametokea wapi, mengine matoto ya mitaani (mwanza almaarufu watoto wa wakoma).
Ni binti wa kazi,nilisikiliza hii habari UTV janaUnaishije na kijana ndani ambaye si ndugu yako mmmm au kalikuwa kakipozeo?