Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

Nchi hii ina watu wapumbavu sana.Nchi imejaa machawa hadi ndani ya mifumo ya serikali.Ninachoweza kuwashauri wanataaluma ni kwamba wote Wahome kufundisha mpaka ijulikane hatima ya wenzao.wahadhili wote wa vyuo vikuu Wahome sababu hali hizi isipokemewa utaishia wote magerezani.
Shida kipato boss. Ccm ilishatunyong’onyesha kila idara ya maisha yetu. Ukisema ugome utakula nini ingali huna chanzo kingine cha mapato. Dah! Kukitoa madarakani hiki chama cha majambazi inatakiwa akili ya ziada
 
Wacheni kuhukumu kabla hamjajua katenda lipi!!

Sababu za kukamatwa zipo👈

Tuna wahadhiri wengi sana ni uyu tu kakamatwa.

Binadamu mwenzio usibebe zamadha yake kwanza jitaidi kujua tatizo nini!!

Mana hakuna Lecture mwengine kakamatwa niyeye tu👈
Acha usenge wewe chawa. Sababu ya kukamatwa kwake si imeelezewa. Hii serikali ya kijambazi si kila siku inatesa wakosoaji?
 
Ndiomana nimekujibu Wanasheria wake wenyewe hawajui ukweli wa mashtaka ya uyo Lecture kufikia sasa👈

watajua mbivu na
mbichi iyo Agosti 5 ✍️
Kuna tofauti kati ya lecture na lecturer. Shule hujaenda ili unajifanya unajua. Pumbavu zako
 
Wahadhiri wachochezi kama hawa ni vyema wakadhibitiwa namna hii
 
mtu anatumia lecture za darasani kuwashawishi wanafunzi wafanye uasi kwa serikali iliyoko madarakani

lazima wazae nae

na wanafanya hivi kama example kwa lecturers wote wenye kufanya classrooms kama political ignitions za kufanya mapinduzi

chezea libolo sasa

im sure ligovernment tayari lina ushahidi wa videos za lectures,na mawasiliano ya wasap,texts,labda emails na ushahidi wa wanafunzi live....

sasa hapo huyu mwana kutoka will be a miracle

sasa ndio ujue you have to be careful with this life!
 
Huyu jamaa Dk. Melkisedeck Kaijage ni kama niliwahi kukutana naye pale Udsm akiwa anasomea PhD yake kama sikosei..
 
Wacheni kuhukumu kabla hamjajua katenda lipi!!

Sababu za kukamatwa zipo👈

Tuna wahadhiri wengi sana ni uyu tu kakamatwa.

Binadamu mwenzio usibebe zamadha yake kwanza jitaidi kujua tatizo nini!!

Mana hakuna Lecture mwengine kakamatwa niyeye tu👈
Unajua maana ya ugaidi?
 
Ila tumefika pazuri tulipotoka serikali ya ccm ilikuwa inatumia zaidi ujinga na uoga wetu ili kuendelea kubaki madarakani, na ndio maana kabla ya oct 29 walifanya sana vitisho wakiamini kama kawaida wananchi wataogopa na baada ya hapo mambo yataendelea kama kawaida.

Lakini toka oct 29 hadi sasa bado nchi haijatulia, na sasa wanatumia nguvu ya dola pekee kujaribu kuhakikisha wanaendelea kuulinda utawala na si ujinga wetu tena.
 
Tusipopaza sauti itafika muda hata mtu akikohoa mbele ya majizi ya CCM ataitwa gaidi.
 
Mazingira ya siasa yamekaa tenge yeye anapromote hiyo unategemea nini?

Kushindana na mwenye Dola na aliyekuzidi tarajia maumivu, unadhani Wapalestina au Iran wanaoenda? Ila ndio hivyo wenye Nguvu wanawaamulia.
Wewe kunguni wa Lumumba kupromote maandamano ni kosa kwa mujibu wa sheria,ipi?
 
Wacheni kuhukumu kabla hamjajua katenda lipi!!

Sababu za kukamatwa zipo👈

Tuna wahadhiri wengi sana ni uyu tu kakamatwa.

Binadamu mwenzio usibebe zamadha yake kwanza jitaidi kujua tatizo nini!!

Mana hakuna Lecture mwengine kakamatwa niyeye tu👈
Ulichoandika kinatia huruma sana, anyway...
 
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.

Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.

Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.

“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.

Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.

“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Ni aibu na ajabu magaidi kumshitaki mtu asiye na hatia kwa ugaidi ambao wanaufanya wao.
 
Back
Top Bottom