Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

Duuuuh Dunia haina huruma.
Mazingira ya siasa yamekaa tenge yeye anapromote hiyo unategemea nini?

Kushindana na mwenye Dola na aliyekuzidi tarajia maumivu, unadhani Wapalestina au Iran wanaoenda? Ila ndio hivyo wenye Nguvu wanawaamulia.
 
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.

Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.

Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.

“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.

Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.

“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
vyuo vikuu vyote kuna maafisa vipenyo.Chunga ulimi wako
 
Siasa za CCM zimefikia kwenye anguko.

Miaka ya nyuma hakuna watu walikuwa wapinzani kama wahadhiri wa vyuo vikuu na watumishi wa umma maana hili ndilo kundi la wasomi. Na walikuwa wanaendelea na maisha yao bila kubughudhiwa, zaidi sana ikitokea jina lake linatakiwa kufanyiwa vetting ilikuwa lazima likwame “huyu si mwenzetu”

Tangu enzi za Magu (RIP) na Samia sasa ni shurti kuwa shabiki wa serikali, acheni kulazimisha mahaba.

Kama Kikwete (role modo) wa Samia amekosa cha kushauri basi ni wazi kuwa hakuna namna nyingine zaidi ya mabavu.
( kwa ufupi kama tupo disco kila mtu anacheza kivyake ), kuna mengine mkuu hajui ila wapambe wanafanya udwanzi ili kumfurahisha waonekane nao kamba iwe ndefu
 
Mtumishi wa umma unatakiwa kuishi kwa kufuata maadili ya utumishi wa
umma
Ndio maana Sheria zinasema kama unataka kuingia katika shughuri za siasa unatakiwa kujiudhuru kazi za utumishi wa umma:
Mtumishi wa umma hatakiwi kujishughurisha katika shughuri za siasa au uwanaharakati;
Stay tuned
Usipindishe maneno sema mtumishi wa umma hatakiwi kujishugulisha na chadema. Mbona watu wanajishughulisha na ccm na hawajajiuzuru utumishi wa umma na wanaendelea kupeta tu kazini au kujishughulisha na ccm sio siasa isipokuwa kujishughulisha na chadema ndio siasa.
 
Mimi sijamtaja mtu nimeweka general concempt;
Nchi Ina mihimili na mamlaka husika:
Mtumishi wa umma fuata maadili ya utumishi wa umma la jiuzuru ufanye siasa au unaharakati kwa uhuru:
Maandamano yako kikatiba na waandamaji wafuate Sheria za kuandamana:

Ndio maana nikasema, kama mwananchi una jambo linalo kusumbua kama Ufisadi Utekaji, Rushwa, nk.
Njia yako ni kumwona Mbuge wako kwa ushaidi ili akaliseme bungeni:
Mmbunge ndio mwakilishi wa Mawazo yako Serikali kutokana na katiba yetu ya sasa:
Kuna vyuo vingapi Tanzania na Kuna wahadhiri wangapi ?

Tanzania tuna wahadhiri zaidi ya elfu nne wastani, mbona hawajakamatwa kwa makosa mbali mbali?

Serikali Ina mkono mrefu sana na kama mtu kakamatwa ni wajibu wa Serikali, na tumwache ajitete mwenyewa na sio kuilaumu Serikali:
Kama mhadhiri ana uwezo wa kumwajiri wakili ili amtetee na anaweza kumlipa lakini wewe na Mimi hatuna uwezo huo:

Leo akikamatwa Padre kwa uhalifu tunalalamika, akikamatwa Shehe tunalalamika, akikamatwa mhadhiri tunalalamika, kwani hao ni miungu hafanyi makosa?
Mbona tukikamatwa sisi walalahoi hakuna anaye lalamika?
Au sisi sio watu? au ni watu wema wakati wote?

Mimi sijamsema mtu, ila nataka tuiachie Serikali ifanye kazi yake:
Wale Magaidi wa MKIRU, TANGA na ZANZIBAR wewe ulikuwa unawafahamu?

Magaidi ni hawa hawa wajomba zetu watoto wetu, kaka zetu na dada zetu, walimu wetu tunao ishi nao pamoja;
Let the Gorment work in it's authorized systems:
Mkono mrefu haukumfikia Mwaipopo....
 
Wacheni kuhukumu kabla hamjajua katenda lipi!!

Sababu za kukamatwa zipo👈

Tuna wahadhiri wengi sana ni uyu tu kakamatwa.

Binadamu mwenzio usibebe zamadha yake kwanza jitaidi kujua tatizo nini!!

Mana hakuna Lecture mwengine kakamatwa niyeye tu👈
We nae ni walewale.
Malecturer wengi2 mbona wamekamatwa na hawajulkani kesi zao zimefikia wapi.
Huu unafia ifike sehemu watu watumie akili zao vizuri bwana
 
Mkipelekwa mahakamani kufanyiwa dodoso mnaishia tu kujikanyaga na majibu yenu ya "sijui" "sielewi" nk.
Kwa hiyo kuhamasisha maandamano ni kosa la ugaidi?
Sasa kilichofanyika oktoba siyo ugaidi?….ukishajiisha litokee tena siyo gaidi?
 
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.

Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.

Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.

“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.

Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.

“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Ikifika Mahakamani hii kesi inatakiwa kufutwa hapo hapo Kwani maandamano ni Haki ya kila raia na viongozi wenyekuleta kadhia hii kuchukuliwa hatua Ndani ya nji na nje ya nji hii
 
Kupitia huyu mwalimu na wengine kutatokea mambo mazito Nchi hii maana majambazi yapo nje walimu wasio na kosa wapo ndani..
 
vyuo vikuu vyote kuna maafisa vipenyo.Chunga ulimi wako
Kuna maafisa vipenyo au kuna vijana wa uvccm na CHAWA wanaojifanya ni maafisa vipenyo!

Nchi hii ingekuwa na maafisa vipenyo, Wachina na wageni wengine wangekomba madini na raslimali zetu nyingine na kizipeleka kwenye nchi zao?
 
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.

Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.

Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.

“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.

Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.

“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Polisi ambao ni vihiyo na vilaza wa kutupwa hawajui hata uzito na maana ya kesi za uhaini na ugaidi licha ya uzito wake kikatiba na kisheria.
 
Huku mtaani ufisadi, Rushwa na Wizi wa mali za Umma umekithiri lakini kesi zao hatuzisikii tunasikia za Ugaidi na Ugaidi wenyewe hatuujui ndio tunafundishwa na serikali ya sasa.
 
Wananchi tusipochukua hatua kali. Sioni CCM ikijirekebisha. Mimi natamani sana civil war itokee tuuane. baadaya hapo yeyete atakaye tawala atakuwa na adabu. Liberia baaday ya kupigana wao kwa wao sasa hivi wanazingatia sana utawalawa sheria na demokrasia. Sierra Leon baada ya kuchinjana wao kwa wao leo kumetulia kabisa. Ivorycoast baada ya civil war leo kumetulia shwari. Mifano ni mingi.
SIIONI TANZANIA CHINI YA CCM IKIBADILIKA BILA KWANZA KUPIGANA HASA
Same 🎯
 
Nchi hii ina watu wapumbavu sana.Nchi imejaa machawa hadi ndani ya mifumo ya serikali.Ninachoweza kuwashauri wanataaluma ni kwamba wote Wahome kufundisha mpaka ijulikane hatima ya wenzao.wahadhili wote wa vyuo vikuu Wahome sababu hali hizi isipokemewa utaishia wote magerezani.
Hao wote machawa hakuna wa kufanya hivyo Kama kweli wangekuwa na hizo guts mpaka dakika hii wangelikuwa wameshafanya hizo protest kuanzia wao mpaka Alumni wao
 
Gavoo unajua kwamba Raia hamna option that's Inawafanya wanavyo taka 😄😄😄

Wanajua kwamba wasemao mchana usiku watalala ,maneno ya chura hayanzuii tembo kunywa maji

Dua la kuku halimpati mwewe

That's why wana wafunga wanavyo taka wanawapoteza huku wakijua kwamba ni kinyume Cha Sheria na kinyume Cha maadili but wana guts kwamba hamna Cha kuwafanya sana sana mtaishia kupiga makelele tu 😆
So wananchi ndio sababu ya hii serikali kufika hapa ilipofika laiti kama wananchi wangewahi kufanya Protest mpaka serikali ikapinduka Lazima wange kuwa wanawaogopa

Serikali katili hii,
 
Back
Top Bottom