Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

Wacheni kuhukumu kabla hamjajua katenda lipi!!

Sababu za kukamatwa zipo👈

Tuna wahadhiri wengi sana ni uyu tu kakamatwa.

Binadamu mwenzio usibebe zamadha yake kwanza jitaidi kujua tatizo nini!!

Mana hakuna Lecture mwengine kakamatwa niyeye tu👈
Sababu zinajulikana mbona au wewe hutaki kuzijua.kutumia mifano ya skendali za nyuma kukazia maarifa kuna ubaya gani.
 
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.

Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.

Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.

“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.

Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.

“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Hayo ndiyo madhara ya Nchi kuwa mikononi mwa MAHARAMIA
 
Hayo ndiyo madhara ya Nchi kuwa mikononi mwa MAHARAMIA

Santiago Chile
May 2026

MAANDAMANO YA WANAFUZI WA VYUO VIKUU NA SEKONDARI DHIDI YA RAIS JOSE ANTONIO KAST

Chile Student Protest Chaos Erupts As Police Fire Water Cannons in Santiago | APT

View: https://m.youtube.com/watch?v=gRyhEdQEdCg
Massive student protests erupted in Santiago, Chile, as demonstrators marched against President Jose Antonio Kast’s proposed education budget cuts.

Riot police used powerful water cannons and armored vehicles to disperse crowds near La Moneda presidential palace, creating dramatic scenes across the capital.

High school and university students protested planned cuts to public education programs, including fears over the possible elimination of the School Meals Program that supports over one million vulnerable students.

Protesters carried signs reading “Food Should Be A Right Not A Privilege” while chanting against austerity measures and government spending cuts. Parents, students, and activists accused the government of harming low-income families and undermining access to education.

The demonstrations and the clashes in Santiago have sparked national debate over education rights, inequality, and Chile’s political future
 
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.

Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.

Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.

“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.

Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.

“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Safi sana!
 
SHUJAA MSOMI ANAYETAKIWA KUUNGWA MKONO NA VYUO VIKUU VYOTE UDSM, SAUT, UDOM N.K KWA MAANDAMANO MAKUBWA DHIDI YA WATAWALA
View attachment 3635534
Photo : Dr. Melikisedek K. Kaijage

Tumuelewe Dr. Melikisedek K. Kaijage shujaa wa fikra tunduizi, usomi wake ameona mengi duniani, hususan kule Latin America maandamano dhidi ya udikteta wa watawala ni utamaduni wao, hawawezi kufisha hisia za Utu wa Watu na haki ya kupinga utawala

Mfano Kijana wa chuo kikuu Boric na maandamano ya vijana kule Latino america


KUTOKA MAKTABA:

VIJANA NA MABADILIKO, WAKATI HUU 2025 / 2026 NI SAHIHI KUINGIA KTK NAFASI ZA MAAMUZI IKIWEMO URAIS


Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi, Vijana ni taifa la leo, watoto ndiyo viongozi wa kesho. Kauli za kilaghai kuwa vijana ni kwa ajili ya taifa la kesho siyo sahihi.

Vijana msihofu msuguano na wazee waliopo mamlakani, kusubiri kupewa ni kukubali kuwa tumejumuishwa na watoto chipukizi. Ni wakati wa vijana kuchagiza kwa mbinyo wa hoja kuwa uongozi wa nchi ni kwa ajili ya vijana.

Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.

Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja kongwe, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k

Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.

Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhisha wananchi kama bandari kuchukuliwa kuwa vituo vya nchi ngeni, matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo zilizokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k

Huko Chile marekani ya kusini nchi iliyo viongozi wa vyama vya wanafunzi wenye kushiriki kikamilifu katika siasa pia maandamano imewezesha kiongozi kijana wa wanafunzi Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.

Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017


Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.

VIJANA NI WAKATI WA KUACHA KUTEGEMEA CHAMA DOLA KONGWE


Picha maktaba : Vijana chawa wa Vyuo vya elimu ya juu Tanzania.

Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.

VIJANA KULE CHILE BARA LA LATINO AMERIKA WAMEWEZA

Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME​

time.com › collection › gabriel-boric

gabriel boric presidente from time.com
23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist


TOKA MAKTABA :

"Tanzania na Afrika haiwezi kujikomboa, bila kubadili mifumo ya fikra". Dk. Godfrey Sansa -Mhadhiri UDOM.


View: https://m.youtube.com/watch?v=13G3vl98i-A
Dr. Godfrey SANSA of The University of Dodoma, UDOM. Tanzania. College of Humanities and Social Sciences.
 
Mbona wanasema alikuwa anafundisha tu na ni mwalimu wa political science hapo UDOM.

Kuhamasisha maandamano ni kosa la ugaidi kiongozi?
Ndio
kama maandamano ya kuchoma miundombinu ya nchi ni Ugaidi;
Maandamano halali ni ya kupata kibali Cha maandamano na kutembea taratibu na mabango ya ujumbe wa
maandamano:
Tukiruhusu maandamano ya fujo na uhalibifu hii Nchi haita kalika kabisa:
Majambazi, wezi, Magaidi, wataichukua hiyo fulsa ya kufanya uharibifu wa Nchi yetu nzuri:
Kama una maoni au hoja za msingi mwone Mbunge wako ayawasilishe serikalini;
Tusi iharibu Nchi yetu kwa hurka za wanaharakati Akina Mange Kimambi wanao ishi marekani na Kanada:
Be specific brother
 
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.

Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi Chang’ombe jijini humo tangu Julai 8, 2026, lakini kabla hajaachiliwa, akapewa shitaka hilo.

Soma pia: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Dk Gerald Shija amesema walibaini mabadiliko hayo wakati wanashughulikia dhamana.

“Mahakama ilitoa uamuzi kwamba atoke ndani, lakini wakati tunashughulikia dhamana, tukaambiwa amehamishiwa Gereza la Isanga,” amesema Dk Shija.

Amesema Dk Kaijage anatarajiwa kuletwa Mahakamani Agosti 5, 2026.

“Sijajua watampeleka mahakama gani, kwa sababu wamefungua kesi Mahakama ya Mwanzo ambayo haina mamlaka ya kusikiliza kesi za ugaidi,” amesema.
Mahakama ya mwanzo kwa kesi ya uhaini! Hivi mwendesha mashtaka wa serikali mbona anafanya mizaha mingi hivi? Na huyo jaji mkuu ni kama naye anapuyanga tu kwenye ofisi ya umma ni kama hayamhusu vile!
Hebu wanasheria tuelimishane hapa, kesi ya uhaini huanzia ngazi ya Mahakama ipi? Je, mahakama ya mwanzo inaruhusiwa kusikiliza na kuamua kesi zinazohusu uhaini?
 
Ndio
kama maandamano ya kuchoma miundombinu ya nchi ni Ugaidi;
Maandamano halali ni ya kupata kibali Cha maandamano na kutembea taratibu na mabango ya ujumbe wa
maandamano:
Tukiruhusu maandamano ya fujo na uhalibifu hii Nchi haita kalika kabisa:
Majambazi, wezi, Magaidi, wataichukua hiyo fulsa ya kufanya uharibifu wa Nchi yetu nzuri:
Kama una maoni au hoja za msingi mwone Mbunge wako ayawasilishe serikalini;
Tusi iharibu Nchi yetu kwa hurka za wanaharakati Akina Mange Kimambi wanao ishi marekani na Kanada:
Be specific brother
Hebu sahihisha kwanza uandishi wako uliojaa "r" nyingi sehemu zisizohitaji!
Itoshe kueleza kuwa huna uzalendo wowote bali una njaa kichwani na ushabiki wa kipumbavu kwa elimu yako ya memkwa!
 
Mwanamke kuwa kiongozi hata vitabu vya dini mbalimbali vinapinga............now athari zake zinaonekana dhahiri
 
Ndio
kama maandamano ya kuchoma miundombinu ya nchi ni Ugaidi;
Maandamano halali ni ya kupata kibali Cha maandamano na kutembea taratibu na mabango ya ujumbe wa
maandamano:
Tukiruhusu maandamano ya fujo na uhalibifu hii Nchi haita kalika kabisa:
Majambazi, wezi, Magaidi, wataichukua hiyo fulsa ya kufanya uharibifu wa Nchi yetu nzuri:
Kama una maoni au hoja za msingi mwone Mbunge wako ayawasilishe serikalini;
Tusi iharibu Nchi yetu kwa hurka za wanaharakati Akina Mange Kimambi wanao ishi marekani na Kanada:
Be specific brother
Huko sawa.Kwahiyo unamanisha alikuwa anahamasisha vurugu sio? Unaweza kutestify ukifika mahakamani au unafanya assumptions tu.

Maandamano ndio mnaona pekee yanaharibu nchi lakini hawa viongozi wanaokula rushwa enzi na enzi wao wanajenga nchi sio?

Huwa mnapata faida gani kulinda viongozi wa hovyo na kuwatupa wananchi wenzenu ambao mko daraja moja? Usichokijua viongozi wako hujiona daraja jingine tofauti na wewe ndio maana kuwateka,kuwaua na kuwafanyia dhuluma wanaona ni sawa.Lakini ni sawa upande utakoa chagua ni juu yako lakini shilingi ikigeuzwa upande mwingine naomba ubaki kuwa loyal kwa hao watawala wa hovyo
 
Tanzania tunavyombo vya uchunguzi nk.

Kwaiyo kwamaoni yenu tuvivunje havina kazi tena ❗️

Sababu wewe zwazwa Ajui chochote unaona tayali kaonewa‼️
Mbona kila baada ya sentence kutukana mzee? Unaonekana una kiburi, na majivuno ya kudhulumu vya watu. Kumbuka ubaya woote utashughulikiwa wakati ukiwadia inshallah
 
Huko sawa.Kwahiyo unamanisha alikuwa anahamasisha vurugu sio? Unaweza kutestify ukifika mahakamani au unafanya assumptions tu.

Maandamano ndio mnaona pekee yanaharibu nchi lakini hawa viongozi wanaokula rushwa enzi na enzi wao wanajenga nchi sio?

Huwa mnapata faida gani kulinda viongozi wa hovyo na kuwatupa wananchi wenzenu ambao mko daraja moja? Usichokijua viongozi wako hujiona daraja jingine tofauti na wewe ndio maana kuwateka,kuwaua na kuwafanyia dhuluma wanaona ni sawa.Lakini ni sawa upande utakoa chagua ni juu yako lakini shilingi ikigeuzwa upande mwingine naomba ubaki kuwa loyal kwa hao watawala wa hovyo
Mimi sijamtaja mtu nimeweka general concempt;
Nchi Ina mihimili na mamlaka husika:
Mtumishi wa umma fuata maadili ya utumishi wa umma la jiuzuru ufanye siasa au unaharakati kwa uhuru:
Maandamano yako kikatiba na waandamaji wafuate Sheria za kuandamana:

Ndio maana nikasema, kama mwananchi una jambo linalo kusumbua kama Ufisadi Utekaji, Rushwa, nk.
Njia yako ni kumwona Mbuge wako kwa ushaidi ili akaliseme bungeni:
Mmbunge ndio mwakilishi wa Mawazo yako Serikali kutokana na katiba yetu ya sasa:
Kuna vyuo vingapi Tanzania na Kuna wahadhiri wangapi ?

Tanzania tuna wahadhiri zaidi ya elfu nne wastani, mbona hawajakamatwa kwa makosa mbali mbali?

Serikali Ina mkono mrefu sana na kama mtu kakamatwa ni wajibu wa Serikali, na tumwache ajitete mwenyewa na sio kuilaumu Serikali:
Kama mhadhiri ana uwezo wa kumwajiri wakili ili amtetee na anaweza kumlipa lakini wewe na Mimi hatuna uwezo huo:

Leo akikamatwa Padre kwa uhalifu tunalalamika, akikamatwa Shehe tunalalamika, akikamatwa mhadhiri tunalalamika, kwani hao ni miungu hafanyi makosa?
Mbona tukikamatwa sisi walalahoi hakuna anaye lalamika?
Au sisi sio watu? au ni watu wema wakati wote?

Mimi sijamsema mtu, ila nataka tuiachie Serikali ifanye kazi yake:
Wale Magaidi wa MKIRU, TANGA na ZANZIBAR wewe ulikuwa unawafahamu?

Magaidi ni hawa hawa wajomba zetu watoto wetu, kaka zetu na dada zetu, walimu wetu tunao ishi nao pamoja;
Let the Gorment work in it's authorized systems:
 
Wataaluma mmeshafikiwa…wahuni wanaingia darasani sasa
 
Ndio
kama maandamano ya kuchoma miundombinu ya nchi ni Ugaidi;
Maandamano halali ni ya kupata kibali Cha maandamano na kutembea taratibu na mabango ya ujumbe wa
maandamano:
Tukiruhusu maandamano ya fujo na uhalibifu hii Nchi haita kalika kabisa:
Majambazi, wezi, Magaidi, wataichukua hiyo fulsa ya kufanya uharibifu wa Nchi yetu nzuri:
Kama una maoni au hoja za msingi mwone Mbunge wako ayawasilishe serikalini;
Tusi iharibu Nchi yetu kwa hurka za wanaharakati Akina Mange Kimambi wanao ishi marekani na Kanada:
Be specific brother
Kama kweli hao wanaharakati wanaoishi nchi za nje wamekusudia kuiharibu hii nchi basi wanafanikiwa, na mimi wa kwanza kumlaumu ni serikali kwa sababu mpaka sasa serikali imeonyesha kushindwa kuzuia huo uharibifu na matokeo yake inazidisha msuguano zaidi.
 
Back
Top Bottom