PostGE2025 Mhadhiri wa UDOM akamatwa na Polisi baada ya kurekodiwa akijadili maandamano ya Disemba 9 darasani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna hicho kitu. Hata wakati wa Nyerere TISS walikuwepo vyuo vikuu vyote. Waliruhusu mijadala huru.

Nyerere alipingwa na vijana na chuo kikuu.

Walijaribu ku-recruit akili zote kubwa vyuoni. Waliposhindwa hawakuwafanyia mazengwe kama leo ta kuwakamata, kuwateka, kuwapoteza, kuwatesa, kuwatupa magereza.
 
unaleta habari za nyerere katika awamu hizi....una akili timamu?
 
unaleta habari za nyerere katika awamu hizi....una akili timamu?
Akili timamu ni nini kwa akili yako?
Nyerere alikuwa na akili timamu kujenga taifa lisilo na dini, ukabila, ukanda wala matabaka.

Akili timamu ni Samia kuwapa nyie machawa kodi zetu zote kwa familia yake kuwatetea, kutuua, kututeka, kututesa na kutupoteza?
 

Uvccm Siku hizi ni afisa kipenyo 😂😂😂
 
Dah Remigidius cornel where are you my Nigga ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…